Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini sheria inawapendelea wanaume kuandika urithi kwa kificho bila kuwashirikisha wake zao?
Hivi mke anaasilimia ngapi ktk mali ya mmewe kwa mf. Mke ameolewa na hana kazi na mme akapata mali wakiwa wote. na ikatokea mme akafa na hakumwachia kitu mke ktk wosia wake, je shelia inasemaje? 2.je mme kuandikisha mali zake watoto wakiwa na umri chini ya miaka 18 na kumuacha mama yao wakati bado anaishi nae ambae ni mke wake wa ndoa ya kikristo.sheria haipendelen mtu yeyote kwan kwa mujb wa sheria ya urithi mtu yeyote mwenye umri wa miaka kuanzia 18 na kuendelea anaruhusiwa kuandka wosia mbele ya mashahd wawil kama anajua kuandka na ksoma na wa4 ikiwa hawez kusoma. Shart jngne ili wosia uwe halal wahusika wa ule wosia (benificiary) hawatakiwi kuwa sehem ya mashuhuda wa wosia. Vilevile mtoa wosia aweza kumrithsha m2 yeyote anayemtaka hata kama si ndugu yake na maamuz yake hayawez kutenguliwa na mc yeyote yule. Hivyo hata akiamua kutomwachia mkewe hakuna wa kumhoj. Lakn ikumbukwe huwez andka wosia kwa mali isiyo ya kwako au ambayo humiliki peke yako. N ile sehem ya mal yako tu ndo waweza acha wosia.
Asante kunifahamisha. Nahitaji kujua mengi juu ya haki za wanawake. Pia nawa incourage wanawake kuzifahamu haki zao kisheria ili kuepuka kukurupuka kimaamuzi kwenye ndoa hasa wakati wa matatizo na kupoteza haki zao.