sheria haipendelen mtu yeyote kwan kwa mujb wa sheria ya urithi mtu yeyote mwenye umri wa miaka kuanzia 18 na kuendelea anaruhusiwa kuandka wosia mbele ya mashahd wawil kama anajua kuandka na ksoma na wa4 ikiwa hawez kusoma. Shart jngne ili wosia uwe halal wahusika wa ule wosia (benificiary) hawatakiwi kuwa sehem ya mashuhuda wa wosia. Vilevile mtoa wosia aweza kumrithsha m2 yeyote anayemtaka hata kama si ndugu yake na maamuz yake hayawez kutenguliwa na mc yeyote yule. Hivyo hata akiamua kutomwachia mkewe hakuna wa kumhoj. Lakn ikumbukwe huwez andka wosia kwa mali isiyo ya kwako au ambayo humiliki peke yako. N ile sehem ya mal yako tu ndo waweza acha wosia.