SoC02 Unyanyasaji kwa fimbo ya uzalendo

SoC02 Unyanyasaji kwa fimbo ya uzalendo

Stories of Change - 2022 Competition
Joined
Aug 11, 2022
Posts
16
Reaction score
10
Je, nini maana ya uzalendo? Je ni kweli uzalendo unapatikana kwa kutodai stahiki zako?
Uzalendo ni hali ya kuipenda, kuithamini na kujitolea kwaajili ya kabila, tamaduni na nchi yako .wikipedia

Je uzalendo unalamishwa?

Kuna tabia ambayo hata ww unaweza kutoipenda ambayo pale unapojitoa kufanya kazi vizuri na kwa kuipenda unapoitaka stahiki zako unaambiwa uwe mzalendo. Kwanini wao upata stahiki zao kwa wakati lakini wewe wanakuambia uwe na uzalendo ?

Kwa maono yangu uzalendo wakulazimishwa ni utumwa maana utumwa nikufanyishwa jambo nje na matakwa yako.

Unanifanyisha kazi na njaa na napokuomba haki yangu unaniambia ni mzalendo. mfano mfupi halmashauri ya manispaa ya Temeke kwania njema ili ajiri walimu kwa mkataba toka 2020 lakini kuanzia 2022 mwanzoni hadi sasa watu wanafanya kama sio haki yako unakuta mtu unapewa posho ndogo lakini unaipataka ndani ya mieze miwili lakini ukihoji unaambiwa unapimwa uvumilivu je kwann wasingewapa ajira ikiwa hawawaitaji tena.

Je, unaimani huyu mtu atafundisha kwa uweledi ,,uenda hata ww unakutana na hiko kikwako ambacho umefanya kazi kwa juhudi zako zote inapokuja suala la stahiki zako unaambiwa tanguliza uzalendo .

Je, wanajua kufanya kazi kajuhudi na morali ya hali ya juu ni uzalendo tosha ..
 
Upvote 0
Back
Top Bottom