doctor mwanafunzi
Member
- Jun 16, 2024
- 51
- 63
sijawahi ku experience hiki kitu lakini na wao kwanini wakubali kufanyakazi bila kulipwa?, mwezi unaisha haujalipwa bado unaendelea kufanyakazi ili iweje
mi mambo ya kufanya jambo huku naumia siwezi kabisa, nikitulia sehemu basi kuna kitu nakipata tofauti na hapo huwa inabaki ile "alikuepo mtu anaitwa flani alikua hivi na hivi"ππNashangaa na mie Dear, hapo ni kuogopa kuonekana Jobless, Lol
Kuna sehemu nilipata kazi ila Tempo, tatizo ni malipo, wee mbona nilikimbia mapema sanaa, ππππ
Mi nlishawahi kulipwa 4000 kwa shift halaf zipo mbili tu kwa wiki mbona sikumaliza hata mwezi wenyewNashangaa na mie Dear, hapo ni kuogopa kuonekana Jobless, Lol
Kuna sehemu nilipata kazi ila Tempo, tatizo ni malipo, wee mbona nilikimbia mapema sanaa, ππππ
Hahahahhami mambo ya kufanya jambo huku naumia siwezi kabisa, nikitulia sehemu basi kuna kitu nakipata tofauti na hapo huwa inabaki ile "alikuepo mtu anaitwa flani alikua hivi na hivi"ππ