Willima
Member
- Jul 27, 2022
- 26
- 39
Unyanyasaji wa jinsia katika ngazi ya elimu ya juu, umekua ukijitokeza mara kwa mara hususani kwa wanafunzi wa jinsia ya kike, ingawa matukio haya pia hujitokeza hata kwa wanafunzi wa jinsia ya kiume. unyanyasaji huu hujitokeza kwa njia tofauti, unyanyasaji wa kijinsia huwaza kujitokeza kati ya wanafunzi wenyewe au pia unaweza kujitokeza kati ya mwanafunzi na mkufunzi.
Unyanyasaji unaojitokeza kati ya wanafunzi hujitokeza endapo mwanafunzi wa jinsia fulanini kumnyanyasa mwanafunzi wa jinsia nyingine kwa kumdhalilisha eidha kwa maneno au vitendo. udhalilishaji huu hujitokeza kwa makundi, yaani wanafunzi wa jinsia fulani wenye uwezo eidha wakifedha au kimasomo.
Unyanyasaji wa jinsia una jitokeza kati ya mwanafunzi na mkufunzi, hapa mwanafunzi ndiye anaya athirika kwasababu mkufunzi ndiye mwenye nguvu na uwezo wa kumyanyasa mwanafunzi. Wakufunzi wengi hubebwa na taasisis za elimu za juu wanayofanyia kazi, linapo jitokeza suala la udhalilishaji wa kijinsia kati ya mkufunzi na mwanafunzi, jambo linalopelekea waathiriwa wengi kushindwa kuripoti unyanyasaji huo, na kusababisha wanafunzi wengi ambao ni waathirika kufanya maamuzi kama kukubaliana na unyanyasaji huo au kusitisha masomo yao ili waweze kuepukana na athari mbaya zaidi zitakazo jitokeza mbeleni.
Unyanyasaji wa kijinsia kwa ngazi za elimu ya juu unajitokeza mara nyingi na hutokea watu wengi. Je, wewe ni muathirika wa tatizo hili? au unajua nini kuhusiana na tatizo hili?