Unyanyasaji wa Mchina daraja la Busisi Tanzania

Unyanyasaji wa Mchina daraja la Busisi Tanzania

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Swala la Wachina kunyanyasa watanzanja siyo jambo geni. Sikulizen

Taarifa Mbaya daraja la Busisi, unyama mkubwa Wabongo na Wachina hapatoshi.

 
Si last week nilimuona Waziri Katambi alikuwa ametoa order hapo darajani na kusema waache unyanyasaji kadhaa ambao alkuta hao wafanyakazi walikuwa wanalalamika ikiwemo ukosefu wa vyoo ambapo Mchina amekuwa akiwaambia wajisaidie kwenye maji ingali wao wamejijengea vyoo hapo darajani?

Waziri aelezwe tena
 
Swala la Wachina kunyanyasa watanzanja siyo jambo geni. Sikulizen

Taarifa Mbaya daraja la Busisi, unyama mkubwa Wabongo na Wachina hapatoshi...
View attachment 2078814
Ila mimi navyojua mtu mweusi ukimchekea kazini anakuzoea vibaya sana anaweza hata kukupandia mabegani. Ila nigger sisi waoga Sana. Wanasubiri hadi wakubwa waje ndo wanaongea kwa ujasiri na kueleza kero zao.
 
Back
Top Bottom