Habari wana jf!
Kiukweli nasikitishwa na unyanyasaji unaoendelea katika haya makampuni ya wageni kiukweli inasikitisha.
Yaani vibarua wanalipwa kwa siku tsh 3100-4000 kwa siku na bado serikali yate haiangalii ili swala!
Watanzania wenzetu wanateseka sana kwa huu upunjo wa malipo uanofanywa na hawa wawekezaji.
Nawasilisha!