achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 62 Nov 7, 2012 #1 Tabia hii ya unyanyasaji wa wanyama itabadilika lini? Kila mmoja mwenye uelewa anamchango wa kumuelimisha asiye na uelewa huu ili tatizo hili litutoke. Tazama kiambatanisho, maelezo zaidi juu ya hili soma hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA Attachments Ng'ombe_pikipiki.jpg 12.1 KB · Views: 53
Tabia hii ya unyanyasaji wa wanyama itabadilika lini? Kila mmoja mwenye uelewa anamchango wa kumuelimisha asiye na uelewa huu ili tatizo hili litutoke. Tazama kiambatanisho, maelezo zaidi juu ya hili soma hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA