unyonge na uvumilivu wa wanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe umekua Mateso kwao

nkowosi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
568
Reaction score
637
Ni kutokana na wanafunzi hao kutopata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.wanafunzi hao Hasa wa mwaka wa Pili ambao toka waanze semester hawajapata mikopo yao.hiv sasa wanaishi kwa neema baada ya maisha yao Kuwa magum sana hivi sasa wakiwa wamesain kwa wiki moja na inasemekana wamesaini pesa ambayo haipo et wanasema bodi ya mikopo hawajaleta check.OMBI KWA WAZAZI MUWASAIDIE WATOTO WENU
 
Nyie c mnajiitaga watoto wa matajiri au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…