Unyonyaji na utapeli wa madhehebu ya dini

hapa duniani hakuna kitu cha bure nawashangaa mnao ogopa madhehebu yenu eti kisa ni ya upigaji sasa unataka usitoe dhehebu litajiendesha vipi.Kumbuka hata usipolinufaisha dhehebu lako kuna kitu utaenda kukinufaisha mfano vilabu ya mpira,wanamuziki,bar n.k

Wewe ndo utachagua unufaishe wapi panapokupa maendeleo

kupanga ni kuchagua na kuchagua ni wewe.Usiwe muoga na dunia.
 

Dhehebu nikilitumikia nalo linitumikie.

Nipe nikupe.

Uhuni peleka huko
 
Dini ni utapeli,haswaa wakristo jamani wanapigwa sana hadi huruma, kuna jirani yangu kafirisika sababu ya upuuzi wa dini!
 
Nilikuwa muhanga kwa haya madhebu lkn namshukuru sana MUNGU nimetoka uko pia naishukuru JamiiForums kuna watu ni vichwq haswa,fikra huru
 
kushinda kwenye nyumba ya ibada kutwa kucha kilasiku huo ni ushetani sio mambo ya Mungu.moja kati ya misingi ya imani kwa Mungu ni kufafanya kazi kwa bidii,kilakitu au kila jambo linapewa muda wake.
samahani nimetoka nje ya mada kiduchuπŸ™
 
Alafu unaambiwa ni shule ya dhehebu lako? Hahahaha!

Watu waache wizi. unyonyaji na utapeli.

Mara nyingi naamini Serikali ndio Dini. Kwani ndio inaweza kukupa huduma nyingi kwa gharama nafuu
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kitendo cha kumgawa Mungu katika nafsi tatu tayari umeshatekwa kimawazo. Ni mtu wa kuitikia tu bila kuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…