Unyonyaji na utapeli wa madhehebu ya dini

Wakati Mungu akiumba Imani, wanadamu walitengeneza dini.
Wakati Mungu akiumba Akili, wanadamu walitengeneza Elimu.
Wakati Mungu akiumba Uzuri, wanadamu walitengeza Urembo
Wakati Mungu akiumba wakati, wanadamu walitengeza Kalenda
umeeleweka sana bro👊👊
 
Kitendo cha kumgawa Mungu katika nafsi tatu tayari umeshatekwa kimawazo. Ni mtu wa kuitikia tu bila kuhoji.
Andiko gani linasema Mungu ana nafsi tatu?
Soma Biblia acha kusikiliza umbea wa mitaani.
Mazilioni ya nafsi unazozisikia zote ni za Mungu.
Yaani zimetoka kwake.
 

Barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…