unakula kona, utaishije na mtu ukitaka lazima ameze madawa?
mmmmmmmmmmmm mnajidai na nyie mnajua kutest, sisi kama nguvu zimepungua tutaongeza dawa na njieje au ndio mambo yale ya kichina! all in all kutest muhimu
Naomba nikukatishe tamaa kwamba unajisumbua kufikiria suala hili, ukiwaza vizuri utanielewa.Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.
Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.
Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.
NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?
ni mmomonyoko wa maadili.....na watu kukosa imani.....excuse haiwezi kuwa eti usije uziwa mbuzi kwa gunia,kwani hao wenye kasoro wao hawatakiwi kupendwa? unachopenda kwa mtu ni ku... au mb.. peke yake? tuseme tu tamaa ndo zinafanya watu kufanya hivyo na kupungua kwa hofu ya Mungu na haya mambo ya kuiga.........sijui ndo maendeleo.......:wink2:

Dearest kuna tofauti kati ya kutembea na mtu na kuishi na mtu!!!Kutembea na mtu inaweza kua based on sex alone....ila linapokuja swala la kuishi na mtu nyumba moja ipo kwenye kusomana tabia zaidi!!!Unapo kua karibu na mtu unapata kujua mazuri na mabaya yake bila kuuliza na hiyo inamsaidia mtu kuamua kama atawezana nayo maisha yake yote au la!!!Ni bora mtu anaeishi na mtu kabla ya ndoa baadae wakaishi vizuri kuliko wanaojifanya watakatifu alafu baadae wanaishia kutoka kwenye ndoa zao kwa visingizio vya sikujua hichi...sikujua kile...yeye yuko hivi na mimi nilitaka vile!!!!

Hahahahahahaha! Michelle sijaelewa hapo kwenye rangi unasema nini....Mwaka 47 hili la kutest kabla ya ndoa lisingekubalika kabisa lakini 2011 sahau kabisa kwa mwanaume kuamua kuoa kabla ya kunanihii.
mmmhhh my dear Lizzy,utakatifu haupatikani kwa kutolala na mwanaume tu,hakuna kati yetu aliye mtakatifu.....ila jamani kuishi na mwanaume kabla ya ndoa,mimi hainingii akilini? unajua waweza kaa na mwanaume hata miaka mitano lakini usimjue au hata yeye asikujue vizuri,baada ya kiapo ndo mkajuana rangi zenu zilizojificha?tusijipe nguvu tusiokuwa nazo,kwamba ni ili tuwafahamu wenzi wetu vizuri,hilo weka mikononi mwa Mungu tu kama mlipangwa kuwa pamoja mtakuwa na hata kufahamiana na kuishi vizuri ndani ya ndoa......
DA hapo nakuunga mkono 100%, wewe utaoa vipi kabla ya ku-test kitu ili ujue unachukua kitu cha aina gani ili kama hakilipi ule kona mapema kabisa!!!
nipigie simu nikueleweshe basi....una umri gani kwanza,manake kuna tabia ya watoto kuvamia hii site....l.o.l
Kwenye kusomana mkifikisha watoto wawili bado mtakuwa na uhuru wa kila mmoja wenu akaoe/kuolewa na ampendaye? Wakati huo mnaishi pamoja wazazi, ndugu na jamaa wanawachuliwa kama mume na mke au mtu na mchumba wake?
Nadhani elimu zetu zinatupoteza kwani kijana (mwanamke) mwenye Degree yake anajiona kuwa ana uhuru kamili na hivyo yale maswala ya kuposwa hawaendekezi kama ilivyokuwa enzi za wazazi wetu. Matoke yake ndio hayo "Come & Stay". Kijana angeenda kumposa binti baada ya wazazi na jamaa kumtambua lazima wangeulizwa wana mpango gani kuhusu ndoa na huu uchafu usingekuwepo. Kule vijijini wanafanya hizi "Come & Stay" mtu na mchumba wake ili kupunguza gharama za harusi.
Sasa dearest embu niambie bora yupi kati ya hawa wawili.......ANAEKUA NA MWANAUME/MWANAMKE just for the sake of being with someone au ANAEISHI NA MWANAMKE/MWANAUME kwa nia yakutaka kumjua vizuri ili mambo yakienda sawa waoane????Hapo weka uwezekano na kushindwa kutimiza malengo ya kujuana pembeni kwasababu sidhani kama kuna mtu anafanya kitu huku akiwa anawaza/jua kabisa hatafanikiwa!!!!
Alafu swala la kuuziwa mbuzi kwenye gunia hapa halielemei kwa wale wanaowekana ndani tu!!!Hata wenye maboyfriend/girlfriend ambao kila mmoja anakaa kwakwe ila wanalala pamoja habari ni ile ile!!!Mtu pekee anaeweza kusema hii sio sawa ni yule ambae hajawahi kushirikiana kimwili na mtu mwingine mpaka anakapo oa/olewa......kwa waliowahi wote wanadanganya nafsi zao wenyewe!!!!