Unyumba kabla ya nyumba


Kwa kweli mimi sikubaliani haya mambo ya kutest kabla, kwani imekuwa karanga jamani!!??? Sasa utaendelea kutestiwa tu..... mpaka unachakaa!!! Ninaamini ukijitunza na kumwomba Mungu, atakupa mume/mke mzuri ambaye utamfurahia! Kila mtu anavuna kile apandacho!
 
ooohh dearest,kweli unaamini kuishi na mtu kunakufanya umjue vizuri? kama nina lengo langu la kutaka kuolewa nita-pretend hadi niolewe...naamini uhusinao wa kawaida bila kuishi pamoja unaweza kusaidia kumuelewa mwenzi wako vizuri sana....

Sio kwamba naamini dearest ila najua kwamba ni rahisi zaidi kumsoma mtu akiwa karibu kuliko akiwa mbali!!One can only pretend so much....itafika mahali mtu atajisahau!!!!
 
Ndo uonje mara kumi?Tatizo ni kwamba walioweng wana2mia njia hiyo kuwaharibu wasichana hawana nia

Nakubaliana na wewe...haya mambo ya test, wanaopata hasara ni wasichana! Msichana anakubali, akifikri mwenzake yuko serious kumbe anaonja kwanza...LOL! ...:A S 13:
 
Besides being pleasurable, sex is meant to be a spiritual experience that extends past the marriage bed into the everyday life of a married couple. It is not just setting up house together. The sex act locks the couple together in the purpose that God has set before them. The couple opens up emotionally to each other through the marriage act, which solidifies the continuing unity of the couple in living their lives for God. God intended for sex to help couples work out indifferences between them, along with the need to procreate.

Sex is a good thing. It must be, if God created it! The only way to keep it a “good thing” is to follow God's guidelines. God will reward you if you choose to honor Him, and save sex for its proper time and place — your marriage.

AIZAK
 
Hahahahahahaha! Michelle sijaelewa hapo kwenye rangi unasema nini....Mwaka 47 hili la kutest kabla ya ndoa lisingekubalika kabisa lakini 2011 sahau kabisa kwa mwanaume kuamua kuoa kabla ya kunanihii.

BAK...ninaamini bado wapo wachache wanaomcha Mungu ambao hawako tayari kuwa tasted kama karanga....LOL
 

Nafikiri ni mmonyoko wa maadili, na maendeleo ya kisasa. Lakini standard za Mungu zitabakia pale pale, ya kuwa watu washiriki tendo la ndoa baada ya kufunga ndoa kihalali.
Utatest na kutestiwa na watu wangapi?? Umri nao hausubiri.. Tusijidanganye kwa hili.
 
BAK...ninaamini bado wapo wachache wanaomcha Mungu ambao hawako tayari kuwa tasted kama karanga....LOL

Nice...
Ni tamaa tu na kushindwa uvumilivu. Siku hizi tuna mahospital ya kuchunguza afya. Huanzishi ndoa kwa kutest. Ndoa inajengwa na Upendo.
 
Sio kwamba naamini dearest ila najua kwamba ni rahisi zaidi kumsoma mtu akiwa karibu kuliko akiwa mbali!!One can only pretend so much....itafika mahali mtu atajisahau!!!!

Lizzy kuna watu smart sana,sasa tuseme umekaa nae fo four years then anaanza kuonyesha rangi zake,huoni kwamba itakuwia ngumu sana kumuacha mtu ambaye umekuwa nae kila siku ya maisha yako kuliko yule ambaye mna urafiki wa kimapenzi lakini hamuishi pamoja.....manake hapo kwenye kuishi nae muda mrefu hata na ndugu na jamii watakuwa wanajua mnaishi pamoja....its even harder.....unless mwanaume which most of the time ndo decision maker wa muingie hatua ya ndoa au lah,ana commitment kubwa,naona its a very big risk to take!!!
 
Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!

Lizzy umeliona hili eeeeeeee!
 

Asante..Watu wengi hawatambui spiritual connection inayokuwepo watu wanapoamua kufanya ngono. Its impact lasts throughout someone's life.
 
BAK...ninaamini bado wapo wachache wanaomcha Mungu ambao hawako tayari kuwa tasted kama karanga....LOL

Ni kweli kabisa KH...lakini kwa dunia tuliyo nayo leo hii unaweza usipate Mume kabisa na pia haina maana utakapoamua kunanihii ndiyo utapata 100% assurance ya kuolewa....maana njemba inaweza kuja na sababu mia kidogo baada ya kuonjeshwa ili mradi tu aingie mitini au aendelee kufaidi bila kuwajibika.
 

Asante.
Kuamua kuishi na mtu ni RISK. Ndoa pia ni risk. wengi hatuko tayari ku-take risk. Na maisha haya you cant avoid taking risk. You will remain testing people to see who offers 'less' risk... lol..
 
Mambo yamebadilika siku hizi lazima utesti kwanza kama kitu iko fresh ndo unaingia mkataba kama hapana unakula kona "Usijeukauziwa mbuzi kwenye gunia" Mawazo yangu lakini

huo ndio mpango mzima dena.
Tena hadi mimba ishike ndio tutangaziane ndoa.
 

BAK...siamini hata kidogo eti binti amejitunza vizuri na anampenda Mungu, akose mume wa kumuoa...:A S 13:. Wapo wanaume pia wanaopenda mabinti waliotulia, ambao hawaonjeshi kwa kila mtu, kwa hiyo atapata tu!
 
Marriage, on the other hand, is much more than a love partnership. It is a public event that involves legal and societal responsibilities. It brings together not just two people but also two families and two communities. It is not just for the here and now; it is, most newlyweds hope, 'till death do us part.' Getting married changes what you expect from your mate and yourself...
 
Mi naona ni hadithi tu za uongo (myths) zinazochukua kasi ya ajabu. Na hakuna utafiti wowote wa kitaalum kujustify kuishi na mtu ili muelewane.

Labda, kuna wataalamu wa mambo haya wamefanya utafiti (bila kuhusisha dini): kuhusiana na haya mambo:

Couples who do not have sex before marriage have happier more stable relationships and a more rewarding sex life, according to a new study.

Psychologists found that couples who waited until after their wedding night rated the stability of their relationships 22 per cent higher than those whose physical relationships developed earlier.


source:
Couples who don't have sex before marriage are happier, study claims - Telegraph
 
Mie nafuatilia tu mjadala. My position ni kuwa kutest kwanza muhimu due to circumstances nilizoziona kwa watu wengine. Heri yenu mnao amini kuwa Mke/mume mwema atoka kwa Bwana
 
BAK...siamini hata kidogo eti binti amejitunza vizuri na anampenda Mungu, akose mume wa kumuoa...:A S 13:. Wapo wanaume pia wanaopenda mabinti waliotulia, ambao hawaonjeshi kwa kila mtu, kwa hiyo atapata tu!

Acha kuwachuuza wenzio, kuna mfano live mtaani kwetu, binti mmoja mtaani, kila vijana wakijitokeza kutaka kuja kujitambulisha wanakimbia kimyakimya... kuja kugundua tatizo hataki wa confirm kama kweli bidhaa inalipa... sasa hivi anatafuta 40 wadogo zake wote wa kike wameolewa!!! Mtu utauziwaje mbuzi kwenye gunia, ukishaoa ukaenda usiikute inapotakiwa iwe!!!! :A S 13::A S 13:
 

kweli kabisaaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…