Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Thanks my dear, God bless you much much.
Hebu nisaidie hiyo njia nyingine, ya kumjua mtu kwa kweli, inauma unaingia na mtu kwenye ndoa unaamini sasa kiu kiu zile zitaondoka halafu unakuta ndivyo sivyo. Nahitaji hiyo Elimu Mpendwa.
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja.
lakini mimi kuna kitu najiuliza "ON SECOND THOUGHT"!!
Kama tutaendesha uchumba kwa staili ile ya mafundisho ya kule kanisani yani ile ambayo ukiwa na mvulana tu, kesho unaitwa kwenye kikao cha wamama, na hakuna kukutana sehemu ingine isipokuwa kanisani, na ukionekana unashtakiwa kwa Mchungaji.
Halafu mwisho wa siku mkioana, mko ndani hakuna mchungaji wala wamama, na mambo ndo hivo tena.........unajua mi nikipenda sana siweze kufanya chochote naridhika tuuuuuuuuu!!!!! Ni mwanaume huyo............. utaishi kwa Imani?? Na mwili ndo unawaka sasa si umeolewa?? Au utafunga......... yeye anaridhika akikuona tu, mengine hawezi kufanya.........!!!
Kama hujakumbuka bora ningemchungulia kwanza!!!! Humo kwenye Suruali .................
Huko ni kujidanganya tena sana. Wewe unadhani tabia ya mwanamke au mwanaume kabla ya kuoana itakuwa sawa na baada ya kuoana rasmi? Kalagha bakho!! Kwani kujuana maana yake ni kulala pamoja!! Kama ni shetani basi amekutawala kwelikweli.
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja.
lakini mimi kuna kitu najiuliza "ON SECOND THOUGHT"!!
Kama tutaendesha uchumba kwa staili ile ya mafundisho ya kule kanisani yani ile ambayo ukiwa na mvulana tu, kesho unaitwa kwenye kikao cha wamama, na hakuna kukutana sehemu ingine isipokuwa kanisani, na ukionekana unashtakiwa kwa Mchungaji.
Halafu mwisho wa siku mkioana, mko ndani hakuna mchungaji wala wamama, na mambo ndo hivo tena.........unajua mi nikipenda sana siweze kufanya chochote naridhika tuuuuuuuuu!!!!! Ni mwanaume huyo............. utaishi kwa Imani?? Na mwili ndo unawaka sasa si umeolewa?? Au utafunga......... yeye anaridhika akikuona tu, mengine hawezi kufanya.........!!!
Kama hujakumbuka bora ningemchungulia kwanza!!!! Humo kwenye Suruali .................
Dunia imetaharuki!!!
Kwa ulimwengu huu ulivyo ni afadhali mara mia mbili, ukajua unaingia na nani humo ndani,
hata umfahamu kwa sehemu tu.
Hapana, dunia ya kuenenda kwa Imani naona inafikia mwisho.
Sijui ndo mwisho wenyewe huu, mmmh utamaso na ulaghai umejaa sana.
wewe wajua ujuavyo,ila nijuavyo kuna kabila fulani kama sikosei wachaga, kuna mtindo wa kuoa kwa kumdaga umpendae kwa kumvizia pindi aendapo kisimani au vyovyote...njia hii nyingine ambayo ni mordernized 2liyoletewa na wamishionary imetupa utaratibu mpya, asa hapa nashindwa kuelewa mababu zetu kama sio baba zetu nao wanastahili kuitwa wazinifu au vp..Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.
Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.
Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.
NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?
Ukweli ni kwamba unyumba kabla nyumba ni haramu tena sana.
kweli,i like the new avatar....:wink2::hand:
Kulikuwa na confusion ya umri wangu na avatar. Sasa nimeamua kufanya kweli!
Kulikuwa na confusion ya umri wangu na avatar. Sasa nimeamua kufanya kweli!
Kuboresha mada yako weka utangulizi utakaelezea jinsi wewe unavyoifahamu "Ndoa". Inawezekana wewe tafsiri ya ndoa ni kuwa na shahada ya ndoa, wengine wakatambua ndoa kama makubaliano ya watu wawili .....si lazima kuwepo shahidi
mkuu hapo umezungumza niliyokuwa nayo mawazoni. Thanks 4 tht, pili kwa mtoa mada ananishangaza anaposhutumu au kukerwa na jinsi watu waliokutana kwa namna hiyo kwenda kwenye nyumba za ibada,nijuavyo mie katika maandiko, Mungu hakunena kanisani au misikitini wanaingia watakatifu tu,kama wewe ujionavyo,bali ni mahala pa kutoa fursa ya kutubu na kujua jinsi ya kufata njia ipasayo,. Sishabikii uzinifu,wala kukashifu mafundisho ya dini,bali mifumo tuliyojiwekea ni ya gharama sana kama ufungaji wa ndoa,harusi,nk.,kwa watanzania wa kipato cha chini wengi hushindwa mudu,na kutumia njia ya pili unayoita uzinifu., nawasilisha
Mmmh!! mwenyewe najua usinzi ni dhambi!! lakini siwezi kukubali kuolewa mtu hatujajuana!! je kama ana kadudu kama kidole kidogo!!!! si ndio kutoka nje ya ndoa huko? bora nijaribu kabla ya ndoa nitatubu kuliko nikishaaingia kwenye ndoaa ni ngumu sana! hasa ndoa zetu wakristo mke mmoja na mume mmoja unaweza kujikuta unaishia kufa na ukimwi bure!!
Hayo yote ni maamuzi ya watu!!!Na ndoa vile vile inaanzia kwenye mioyo yao....sisi wengine ni watazamaji tu!!!
Kuna watu wanaenda mbele ya wachungaji na masheikh huku roho zao zimejaa unafiki.Bora wanaoishi bila ushahidi wa mwanadamu ila ni wakweli kwa wao wenyewe na Mungu wao kuliko wanaoonekana wakweli machoni pa watu ila sio chochote!!!!