Hayo ni mapenzi yao, wakati wanakubaliana nadhani wewe haukuwepo, hivyo sioni sababu ya kumuonea huruma.WADAU, 1. uju jamaa sikuzote uwa ana laa coz uwa ata kutoka nje anaona noma.
2. demu akienda job jamaa ana baki na mtoto analea{mtoto ana less 1yr}
mi ninaona jamaa anateseka kinoma.
ingekuwa wewe je?
WADAU, 1. uju jamaa sikuzote uwa ana laa coz uwa ata kutoka nje anaona noma.
2. demu akienda job jamaa ana baki na mtoto analea{mtoto ana less 1yr}
mi ninaona jamaa anateseka kinoma.
ingekuwa wewe je?
ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!Si kingereza tu, lugha na uandishi yanaanza kuwa matatizo makubwa sana ya kitaifa.
Serikali itangaze hali ya hatari.
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta
CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa kupata ONE-toto.
Je, wf ikosawa au laa maoni.
Note: mwisho mwadada anakipato kuliko jamaa yake, Justwhy? jamaa kaja na anaishi naye uyu dada but everythings jamaa anapewa kuanzia MATUMIZI adi MAUPWIKS AU UNGWIDU!!!!
WADAU, 1. uju jamaa sikuzote uwa ana laa coz uwa ata kutoka nje anaona noma.
2. demu akienda job jamaa ana baki na mtoto analea{mtoto ana less 1yr}
mi ninaona jamaa anateseka kinoma.
ingekuwa wewe je?
Si kingereza tu, lugha na uandishi yanaanza kuwa matatizo makubwa sana ya kitaifa.
Serikali itangaze hali ya hatari.
Subiri baadaye yule Political loser arudi kwenye ile thread yake ya kudeclare defeat na mapovu mdomoni hata report abuse itakuwa hakuna atapiga simu moja kwa moja kwa mods.ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Dah,kuna tatizo kubwa sana JF these days.
Natamani likizo yangu irudi tena.
Ndio ameanza Graphic course kwenye vyuo vya pale Kariakoo...Sorry kwa kuwa nje ya mada! Kabla sijasema chochote wewe ni mhindi,mkenya,mkongo au mwarabu? Maana si lugha tuu hata ulivyochanganya font colour hapo duh!
Nimeamini maneno yote katika post.... Ila nimeshindwa kabisa kuamini kua huyo mwanaume anamuamkia mkewe. Kabye mie ninavoelewa na yale nimeona kwa macho yangu; vijana wa kulelewa na mwanamke ni watoto wa mjini...Wale ambao ni wajanjaaa. Na kijana wa mjini ambae ni mjanja na analelewa, atafanya kila kitu kwa huyo mwanamke lakini siamini kama atamwamkia.... Dah! sipo huko mtaani lakini niko tayari kubisha.
BTW, Jamani huo uandishi ndio nini kututesa hivo?
Si kingereza tu, lugha na uandishi yanaanza kuwa matatizo makubwa sana ya kitaifa.
Serikali itangaze hali ya hatari.