Unyumba....

I'm back my dude. Incarceration is no joke. Worst of it all I was put in solitary confinement and that did do well with me. You know how sociable I am. Damn...penitentiary is something else. I can tell you that.

So what's been happening around here?


pole sana a lot has happened here
i dont know where to start....but ukiperuzi peruzi utaona..
honestly i always want to ask this thing...
nimeona most of times unakula ban kwa sababu ya mtu mmoja tu..
now seriously najiuliza what happened?
you and him?
were you friends before?

but you can skip this since i can see you are in a good mood...today..
may be next time you can tell....
 
unakuta hapo mwanzoni jamaa alikuwa anapewa dozi ya mara tatu yaani asubuhi, mchana na usiku kama mwaka hivi kwa hiyo ameamua kupumzisha kidogo ili irudi kama zamani
 
ndoa ni tendo la ndoa, bila tendo la ndoa hakuna ndoa
Kweli kabisa, kuna mzee mmoja tunafanya nae kazi kipindi kile cha "presha" ya samunge mke wake alienda Loliondo. Aliporudi toka huko alimpa masharti mumewe kuwa hampi unyumba mpaka na yeye atakapoenda kupata kikombe! Basi yule Mzee akawa ananihadithia ni jinsi gani yuko kwenye wakati mgumu! na ana miezi kadhaa hajagonga mke wake! Bahati mbaya babu wa loliondo alikuja kupoteza umaarufu kabla mzee Hajaenda samunge! Sikuthubutu kumuuliza kama bado hajapewa mzigo au La!
 

Unajua bana..it's no secret kuwa mimi hapa JF ni celebrity na legend vile vile. Sasa hizo status mbili zinakuja na gharama zake. Na moja ya gharama ni kuwa na groupies na stalkers. Sasa kuna mtu (Yo Yo) amekuwa akini-stalk kwa muda mrefu sana.

That sucker has been peddling some nasty rumors about me. He's been pushing my buttons for a long time. So that day I couldn't take it no more. I went off on him. I knew I was gonna get banned but I didn't care. I just wanted to hit back and I did.

Me and him have never been friends. He wants to be my friend but I don't get down like that. So I think that made him upset and decided that he would hound me every chance he gets.

So in a nutshell that's what went down.
 

.....mnh, mwaka mzima unasubiria 'embe dodo' lianguke...mnh!
 


ok i hope all is well now..
now changia changia humu aisee
tazama jukwaa la complain kuna post ya bishanga kuhusu copyrights...
funny how things can start here at jf na all over tz online community...
 
Yaani unajua mbinu za adui yako, and you still fall for him?
Akijua batani yako, ataipress kila siku.

 

as far as I remember you two (Yoyo na wewe) used to gang up on a certain lady hadi akawa akiwaona anakimbia.. so what happened you guys fell out.. ? Karibu sana. Where is yo yo now?
 
What it do birthday gal? I heard you had a humongous birthday bash thrown by none other than Mr desh desh...

Where is my invitation?

hahaahah lol
yeah i had the meanest bday party ever aee..
The party is still going . Hey you don't need invitation just walk in..
No one will stop you , "you know that"............
 

Hakuna ndoa hapa ni usanii tu. Ndoa gani watu wanakaa muda wote huo bila kunanihii tena hakuna issue ya ugonjwa kwa wahusika halafu bado ni mke na mume!?
 
as far as I remember you two (Yoyo na wewe) used to gang up on a certain lady hadi akawa akiwaona anakimbia.. so what happened you guys fell out.. ? Karibu sana. Where is yo yo now?

Dayuum! You still remember all that stuff from back in the day? Lol

He is still serving time in the slammer but as you know...his alter ego is probably here somewhere.
 
Mwanaume anawezaje kuishi muda wote huo bila kuiona hiyo naniiiii, huo siyo ukweli.
 
Yaani unajua mbinu za adui yako, and you still fall for him?
Akijua batani yako, ataipress kila siku.

Kumtolea mtu uvivu inahusika wakati mwingine.

I just can't sit there and take that kinda shit. Acquiescence has never been, is not, and will never be my trait. If you hit me I hit you right back twice as hard.
 
Huyo mama/mke lazima atakuwa ana mume nje ya ndoa, huko ndo anamalizia hamu zake, so haoni sababu ya kumpa tunda mume wake wa ndoa kwani yeye kesha shiba huko nje, hana njaa tena!
 
I just hated to declare mr showman! Bt I rarely hate, and when I do,trust me even the devil understands. Just like a sweet fresh pepper,u sometimes make me wanna sneeze. Haya,behave. Don't let no one make u be them. U know u hate missing ur own funeral
Hate will consume you. So don't hate. Just celebrate, participate, and congratulate. I missed you too miss lady. I missed you bad.
 
Ohoo! Mdundiko wa talaka haushoneshewi sare atii! Mtalaka hatongozwi, siku tu kamoto kanaanza kama cheche afu the flame keeps burning! Mnaachwa mnashangaa. Huyo baba kusubiria tu hapo unadhani yeye chizi? Lol
Mke mwenza kwa mafumbo na nahau nakuaminia. Ila kweli asee mke na mume wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune bt kwa hawa wenzangu na mie ni too much, miezi 15 hawasameheani tu?..khaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…