Duh itabidi na mimi nibadili ingredients aisee...maana hapa saivi ni saa 08:26 lakini tayari nshapiga vikombe vitatu tayari!!! i drink more tea than water i guess!!!
Cc: Paloma, niekee snack...lol!!!
MziziMkavu chai ziko za aina nyingi kama green tea, na nyinginezo
tofauti tofauti, naomba unijibu maswali 2
1-Chai gani hapa iliokusudiwa?
2- Wataalam mara nyingi wanasisitiza watu wanywe chai sana kama green
tea n.k kuwa zina faida nyingi, sasa mbona hii makala yaako inapingana??
Thanx in advance
Bibie Mamndenyi chai ya kwangu mimi hiyo ni ya kuongeza Nguvu za Kucheza mpira kitandani tukiwa mimi na weweheshima kwako MziziMkavu
hii ya chai niliwahi isikia sana,
nimefurahi umeweka hapa nami nimeelewa zaidi,
but
nimependa hii chai ya kwako ya ......tangawizi kavu na Mbadalasini.....
eti na yenyewe ina madhara ya kuongeza joto saaana mwilini?
Mkuu royna Effects of caffeinenajua unasuta kwa kutokuwa na source, lakini hata green tea ukinywa kwa wingi ina madhara mwilini,surf kwenye google disadvantages of having green tea.
(Too much caffeine can cause nausea, insomnia or frequent urination.
Green tea is prohibited for pregnant women. This is because the compound EGCG can severely affect the way in which folate is working in the body. Apart from EGCG another compound named methotrexate also affects the body when it reacts with an enzyme called DHFR. Otherwise in normal people this chemical helps fighting against the cancerous growths in cells.
- Scientists have warned the users that intake this tea in large amounts can pose danger to the kidney as well as the liver.
- Derived products from this kind of tea can pose a threat to your health as they contain polyphenols in large quantities.
- Pregnant women have been advised to lower their intake of these types of teas or eliminate it from your diet completely. EGCG can interfere with the child's growth which can create complications.
In pregnant ladies only reducing the amount in which it is consumed cannot minimize the effect of these chemicals. The other risks, which it poses in a pregnant lady, are:
But such severe side effects were witnessed in cases of high intake.
- Low birth weight
- Premature birth
- In some cases fatal death.
Green tea can pose various side effects for you if:
- You are sensitive to caffeine: If this is the case with you then restlessness, irritation, sleeping problems, tremors, heart palpitations and loss of appetite can be the problems you can face.
- You have a sensitive stomach: Stomach related problems are very common with people consuming green tea. So you should add more milk and sugar if you notice these symptoms.
- You are young: Young children are advised not to drink coffee or tea because their body may not be comfortable and it may over stimulate them.)
Bibie Madame B Tiba zangu ni za kuoteshwa nikioteshwa waambie kitu hiki ninawaambia haraka kabla sijasahau hujambo lakini kipenzi?MziziMkavu, tiba zako kunani, mpaka usiku mwingi, au ndo watu wa huko 'Duniani' Mambele mshaamka!
Bibie Madame B Tiba zangu ni za kuoteshwa nikioteshwa waambie kitu hiki ninawaambia haraka kabla sijasahau hujambo lakini kipenzi?
Bibie Mamndenyi chai ya kwangu mimi hiyo ni ya kuongeza Nguvu za Kucheza mpira kitandani tukiwa mimi na wewe
kitandani raha tupu chai ya Tangawizi na Mbadasini na Majani ya chai pamoja inasaidia mambo mengi tu sio tu kutia joto mishipa ya nguvu bali
inatibu maradhi mengi kama ujuavyo Tangawizi ni chakula na dawa na mbadalasini pia ni chakula na dawa muhimu kwa ndugu zangu
wa kiume wewe ukiitumia pia utakuwa na nguvu ya ziada ya kwenye uwanja wa mpira kitandani usitumie lakini wewe usije kunizidi
kucheza mpira.
bibie Madame B ninakutania unaumwa nani tena ameshakutia mimba?
MziziMkavu please, kimya kimya unasema Madame B eti mimba itaingilia wapi??? si alisema hafanyi ana aibu
hadi ukaanza kumton..goza, au umempa weye??? utani tu.
MziziMkavu please, kimya kimya unasema Madame B eti mimba itaingilia wapi??? si alisema hafanyi ana aibu
hadi ukaanza kumton..goza, au umempa weye??? utani tu.
Wote nyie ni wangu acheni mambo ya kugombana bibie.@Mamndenyi na bibie.@Madame B Tangu ajuwe Madame B wewe Mamndenyi aibu yote imemuondoka huyu bibie Madame B mbele ya wivu kuna aibu wacha weeeeeeeeeMziziMkavu anapenda wanawake wenye aibu.
Nami mmoja wapo.
Ngoja ninywe chai,nitoe aibu.
Wewe Mamndenyi una uso wa mbuzi,huna aibu ndio maana hajakutumia chai.
Imekufurahisha hiyo Post yangu bibie MamndenyiMziziMkavu ha ha ha haaaaa mmmmh
ngoja nivae miwani nisome tena hii posti yako.
MziziMkavu anapenda wanawake wenye aibu.
Nami mmoja wapo.
Ngoja ninywe chai,nitoe aibu.
Wewe Mamndenyi una uso wa mbuzi,huna aibu ndio maana hajakutumia chai.