Imekufurahisha hiyo Post yangu bibie Mamndenyi
ha ha ha haaa Madame B
mi aibu yangu ni tofauti kabisa na yako
nina aibu sana ila tunatofautiana maeneo fulani fulani.
MziziMkavu anakupenda kwa sasa tu.
Ushaanza kuona wivu ee!
Enzi za uchumba na MziziMkavu, ndio nilikuwa napata presha, ila sa hv, akha.
nikiwakuta
sinaga wivu kwa kuwa huwa sijuti
umenijulia wapi Madame B jamani.
my teacher, my friend na jirani yangu vile vile
mimi nakujua vizuri japo wewe haujanijua kama unavyosema,
am i right???