Samahani wana JF Naomba kuuliza kidogo
Kila baada ya siku mbili au moja napendelea kunywa kahawa vikombe 3 adi 4 sasa Tatizo langu kila nikinywa baada kama ya saa 1 au zaid Najiona kama nimelewa au inanilewesha.
Nakuwa katika ile hali kama mtu anavoanza kulewa.
Sasa Naomba msaada kwa anaefahamu kwanini Kila nikinywa Nalewa au inanifanya kama Nimelewa.