#COVID19 Unywaji wa Pombe kali sio kinga dhidi ya #COVID19

#COVID19 Unywaji wa Pombe kali sio kinga dhidi ya #COVID19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Watu wamekuwa wakiendelea kuitikia wito wa kukaa nyumbani na kuepuka mizunguko isiyokuwa na ulazima ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya #COVID19.

Hata hivyo watu wamekuwa wakijihusisha na unywaji wa pombe kupita kiasi kutokana na taarifa zinazoenea kuwa kunywa Pombe kali ni kinga na zinaua virusi vya Ugonjwa wa #COVID19.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limekanusha imani hiyo iliyojengeka kwa watu wa mataifa mengi Ulimwenguni. Imefafanuliwa kuwa unywaji wa Pombe kali si kinga dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus.

WHO wamesisitiza kuwa unywaji wa pombe wakati huu ambao watu wanatakiwa kukaa ndani ya nyumba zao umesababisha ongezeko la ugonvi katika familia.

Visa vya Ugomvi vimeongezeka kwa asilimia 30 nchini Ufaransa huku vikiongezeka kwa asilimia 25 nchini Uingereza.

=======

Consuming high-strength alcohol does not kill the COVID-19 virus, the World Health Organisation (WHO) said on Tuesday in an effort to dispel fake news.

"Fear and misinformation have generated a dangerous myth that consuming high-strength alcohol can kill the COVID-19 virus. It does not," WHO Europe wrote on Tuesday.

"Consuming any alcohol poses health risks, but consuming high-strength ethyl alcohol (ethanol), particularly if it has been adulterated with methanol, can result in severe health consequences, including death," it added.

The UN organisation instead called on governments to enforce measures which limit consumption of alcohol, particularly in countries under confinement.

Domestic abuse is spiking in lockdown - so what can be done about it?

"At times of lockdown during the COVID-19 pandemic, alcohol consumption can exacerbate health vulnerability, risk-taking behaviours, mental health issues and violence," it went on to say.

In the first two weeks of the French lockdown, reports of domestic violence jumped by more than 30%, the country's interior ministry revealed late last month.

The National Domestic Abuse helpline in the UK has seen a 25% increase in calls and online requests for help.

According to WHO, three million people lose their lives every year to alcohol, a third of whom are in Europe

Source: WHO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom