Uokoaji katika majanga Tanzania ni changamoto, sio leo toka zamani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Tujikumbushe ajali na Watanzania wenzetu walivokufa kutokana na uzembe wa taasisi ya maafa na uokoaji

1. Ajali ya Meli MV Bukoba kuzama

Hii ajali ilikuwa maelefu ya watu. Na ajalie ilitokea karibu na bandari ya mwanza, na meli ilizama Vyombo vya uokoaji havikutoa msaada

2. Mv Spice Zanzibar
Hii meli iliiua Watanzania Zaidi ya 200

Jeshi la uokoaji lilifanya uzembe kufika eneo la tukio na kunusuru Watanzania walivokufa maji

3. Ajali ya meli mv Nyerere Ukerewe
Hii meli ilizama 2019, ilizama huko Ukara
Ilikuwa watu zaidi ya 400
Vikosi vya uokoaji vilifanya uzembe na watu wakafa kama nzi kwenye mzoga

4 Ajali ya treni Dodoma
Hii ilikuwa mwaka 2010
Mamia ya Watanzania walikufa

5 Ajali ya Tank la mafuta Morogoro
Tank hili lilipuka na kuwa Watanganyika zaidi ya 150
Ajalie hii ilitokea mwaka 2018
Uzembe wa vyombo vya uokoaji na ukosefu wa vifaa vya uokoaji ilisababisha Watanganyika masikini wakafa kama nzi kwenye mzoga

6. Ajali ya ndege kuzama ziwa Victoria Bukoba
Hadi kijana mvuvi Majaliwa akaoa watu
Lakini watu zaidi ya 20 walipoteza maisha Kwa uzembe na ukosefu wa vifaa na umakini

6 Ajali ya bus la shule Arusha

Watoto wengi walikufa Kwa uzembe wa vyombo vya uokoaji

7 Leo Kariakoo
Wafanyabiashara na Watanganyika masikini wako chini kwenye vifusi
Machinga ndo wako mbele wakitumia dhana hafifu za uokoaji.

Watu hawajui wafanye Nini
Watu wanapoteza maisha

Naomba serikali Kwa matukio haya ipate funzo na kuliwezesha jeshi la zima moto vifaa vya uokoaji ili wafike kwenye tukio kutoka maisha ya Watanzania
 
Attachments

  • 1731768381233.jpg
    1731768381233.jpg
    742.4 KB · Views: 3

Uliponifurahisha ni hapo kwenye matumizi ya neno mtanganyika.
 
Back
Top Bottom