Uombaji kazi za Ualimu hali ni tete, sehemu anahitajika mmoja wameomba watu zaidi ya elfu moja

Uombaji kazi za Ualimu hali ni tete, sehemu anahitajika mmoja wameomba watu zaidi ya elfu moja

Zero Conscious

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
254
Reaction score
519
Habarini za wakati huu. Kama tunavyofahamu zoezi la utumaji wa maombi ya Ajira linaelekea kutamatika lakini kiukweli Hali inatisha.

Kwa wale ndugu zangu walimu mtakuwa mmeona kwenye shule mlizoomba idadi ya walimu wanaohitajika na namba ya watu waliotuma kuiwania nafasi hiyo. Kuna wakati utaona mwalimu anatakiwa mmoja au wawili lakini contenders ni zaidi ya elfu Moja.

Kwa wenye shortcuts, hakikisheni mnatumia hiyo nafasi tu kikamilifu kadri muwezavyo lakini kwa sisi tusio na connection tumefanya ku-bet tunajiandaa kwa matokeo yoyote ila mwenyezi Mungu atusaidie sana kwakuwa tumerusha JIWE GIZANI, maana baada ya deadline nategemea vinafuata vifuti, Kuna watu watapigwa za chembe na wengine watavunjwa uti.
 
Usijali mkuu muombe mwenyezi mungu maana yeye ndokila kitu, anaemtegemea Mungu ana uhakika kuliko mwenye connection
 
Back
Top Bottom