Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wadau Salaam,

Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo ADMISSION NUMBER huanza kutolewa!

Aliyeweza kujaza fomu na kuzituma bodi ya Mikopo alete ushaidi ili nasi tuchangamkie fursa kabla hawajafunga!

Asanteni.
 
Mkuu,

Kwa yale tuliyoyaona, hakuna mahali kwenye miongozo ya Bodi Ya Mikopo Tanzania imeelekeza kuwa mtu anayeomba mkopo lazima awe na admission number ya chuo kikuu

Bodi imeweka wazi kuwa wale watakao kuwa allocated loans ni wale ambao watapata nafasi katika vyuo vikuu. Tafsiri ni kwamba hutawekewa hela ya mkopo kama hutapata nafasi ya kujiunga chuo kikuu kinacho tambulika nchini.

Wewe omba mkopo, kama jinsi ulivyoomba nafasi za vyuo na round ya kwanza kupita. Mwisho wa dirisha la Maombi ya Bodi ya Mikopo ni tarehe 30.08.2024 ilhali vyuo vingi vitaanza kutoa majibu mwanzoni mwa mwezi wa tisa.

Nadhani umeelewa.
 
Back
Top Bottom