Uombaji wa visa kwenda nje ya nchi kwa wasiojua kiingereza wanaruhusiwa kutumia kiswahili kwenye usahili?

Mngaza Mngaza

Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
5
Reaction score
0
Mfano umeomba visa ubarozi wa ufaransa unataka kwenda paris kwenye maonesho lakini ukawa hujui english je wakati wa enterview unaruhusiwa kuongea kiswahili au ndio utakuwa visa umekosa sababu hujui lugha
 
Mwenye uzoefu alieyewahi kuomba visa ubarozi wa france atoe msaada kama hujui kuongea kizungu wakati wa kuhojiwa inaruhusiwa kutumia lugha yako au ndio utakuwa umekosa visa hata kama document zipo kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…