uombaji wa vyuo na mkopo

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
kwanza naomba radhi kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine nitawakera. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013, naishi kijijini, yaani hakuna umeme, maji na hata mitandao ya simu hakuna isipokuwa airtel peke yake ndo tunaipata huku. Kwa wenyeji wa mkoa wa SIMIYU wilaya ya BUSEGA nipo kijiji kiitwacho 'MWAMUJULIRA'. Hivyo kwa yeyote aliye mjini na ambaye anajua utaratibu wa kuomba chuo na mkopo anijulishe. Nasikia pia kuna kitu kinaitwa guidebook ambacho kwangu ni msamiati(japo najua maana yake kwa kiswahili). Ivyo pia naomba anayejua yaliyomo kwenye guidebook iyo ya tcu anijulishe. Asanteni!
 
tcu wameongeza mda wa kutuma maombia kwa waliohitimu kuanzia 2012 kurudi nyuma mwisho wa kutuma maombia ni june30 na waliomaliza 2013 ni julai 31. tuma elfu 50 kupitia m-pesa.
 
tcu wameongeza mda wa kutuma maombia kwa waliohitimu kuanzia 2012 kurudi nyuma mwisho wa kutuma maombia ni june30 na waliomaliza 2013 ni julai 31. tuma elfu 50 kupitia m-pesa.

asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…