A
Anonymous
Guest
Habari,
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma.
Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali.
1. Mfumo kubadilisha sehemu ya mtihani, mfano umechagua Musoma mfumo unakuja kubadilika baadae unasema Arusha, ukiwapigia simu wanakwambia ubaki Musoma ukienda siku ya usahili unaambiwa jina lako halipo. Kwasasa watu wengi majina yao yamehamishiwa Arusha kwenye usahili wa mdomo ila tupo njia panda baada ya yale yaliyotokea kwenye usahili wa kuandika.
2. Wasimamizi wanatumia lugha ya kejeli sana, kuna video inasambaa ingawa wameikana ila hayo ndo yanayoendelea mimi nimeshuhudia mdada wa miaka kama 25 anamtukana mtu wa almost 40 years hadharani kabisa, hii si sawa