Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

Wewe na baba yako wote mnamwita Mbowe mwamba??

🤣
 
Maneno mazuri haya. Muda ni judge mzuri, tusubiri.
 
Amen!
 
Cc KikulachoChako johnthebaptist Crimea YEHODAYA
 
Mungu yupi huyo atajibu mapigo?
Ni huyu ambaye kila mtu anamuomba au ni mwingine wa kwenu tu?
 
Kila jambo lina mwisho
 
Shida ni wafuasi wa Cdm kuyakubali mateso hayo. Nchi za ki Africa, ukifanya siasa za kiistaarabu unachukuliwa kama mnyonge na shamba la bibi la kujifunzia kila kitu.

Hawaoni resistance yoyote ya kukataa manyanyaso.
Mkuu utasimama mbele ya mtutu kweli?? hawa wenzetu wako tayari kumtoa mtu koromeo muda wowote.
 
na mabaya yanapotukuta ni kwa sababu tuna dhambi na Mungu hutukimbia?
 
Kwanini mtu yoyote anayechangia hoja yake ikiwa tofauti na mitazamo yenu lazima hausishwe kuwa ni mwanaccm kwani nchi hii lazima kila mtu awe CCM au CHADEMA? Wapi Mkaruka kwakuambia yeye ni ccm au wapi hiyo hoja yake imeonesha yeye ni CCM?
 
Amen 🙏
Umenena vyema!
 
Kwanini mtu yoyote anayechangia hoja yake ikiwa tofauti na mitazamo yenu lazima hausishwe kuwa ni mwanaccm kwani nchi hii lazima kila mtu awe CCM au CHADEMA? Wapi Mkaruka kwakuambia yeye ni ccm au wapi hiyo hoja yake imeonesha yeye ni CCM?
Twamfahamu siku nyingi hata kabla hujazaliwa.
 
Uovu, ukatili,kubambikia wengine kesi, dhuluma na uonevu unaofanywa na ccm dhidi ya upinzani ni mbaya sana na laana kwao,watoto na wajukuu wao. Dhambi hii ni kubwa sana na hakika Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya dhulama hii OVU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…