Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

Dhambi hii ni kubwa sana na hakika Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya dhulama hii OVU.
Unaongelea Mungu wa Abraham, Isacka na Yakobo au mungu wa Machame?

Kama ni Mungu tunayemmuamini wakristu umpotoka, Mbowe hana huo usafi unaotaka kuonyesha kuwa anadhulumiwa. Yeye ndiye DHULUMAT mkubwa
 
Hapo kwenye Mungu atajibu mapigo...mapigo ya nini? Hizi siasa za kulialia na kusubiri miujiza ya Mungu ni kujidanganya....Mungu ametupa utashi wa kufikiri hili ni jema na hili ovu unataka tena akujibie mapigo kwa watesi wa mbowe...We have to change. Ovu huondolewa kwa mkono,twatakiwa kuuondoa uovu kwa mikono yetu huku tukimtumaini Mungu kwa kuamini atatuongoza na mwishowe kushinda vita
 
Wakati wa Mungu huwa ni sahihi sana.

Acha tusubiri tuone.
 

Acha kumchezea Mungu kwa Mambo ya Siasa. Wewe humjui Mbowe kama Mungu anavyomjua. Njia za Mungu Ni tofauti na za wanadamu. Ya sirini huwezi yajua wewe. Unataka kummiliki Mungu wewe.
 
Hoja za kishetani zinajibiwa na mashetani! Rudi kuzimu ukaungane na mwenzio wa chattle!!
mangikule Wewe ni mgeni humu, mimi siyo mtu wa Chato. Waulize wakongwe wakuambie muziki wangu dhidi ya Magufuli, au tafuta post zangu ndiyo utanijuwa
 
Hawajifunzi kwa mwendazake kuwa pamoja na mbwe mbwe zote leo yupo kaburini
 
Ndugu,
Sina hakika kama hata wewe wayaamini hayo kutokea moyoni mwako. Ama sivyo INASHANGAZA ni nini kinakuzuia kumfungulia Mbowe mashitaka ili kummaliza.
Kujiliza hadharani na MAKELELE ya kishetani hivihivi ya wenzio akina Lijualikali na Ndugai vilikwama vibaya kwa aibu kule TAKUKURU.
Ungejaaliwa hekima na weledi japo kidogo ungeshanza kuwa mkweli japo kwa nafsi yako ungekuwa ULIISHA JINYAMAZIA. Pole sana.
 
Unajiona umeshusha points hapa kumbe umemwaga upupu tuu, huu ukunguni unawatesa sana...
 
CCM hawaamini uwepo wa Muumba Mbingu na nchi na ndiyo maana hata wakisoma hapa hawashituki chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…