Uongezaji wa Ada Katikati ya Muhula: Je, Ni Haki Kwa Shule Kuongeza Ada Wakiwa Kidato cha Sita?

Uongezaji wa Ada Katikati ya Muhula: Je, Ni Haki Kwa Shule Kuongeza Ada Wakiwa Kidato cha Sita?

Joined
Sep 7, 2022
Posts
22
Reaction score
40
Naomba kujua ni haki kweli kwa shule kuongeza ada katikati ya mwaka. Maana nina mdogo wangu anasoma Kidato cha Sita, ada imekuja kuongezeka katikati ya muhula wa pili kufikia kidato cha sita
 
Shule za wTu binafsi wanataka mumtafuta ubaya mama Samia


Wanampima uwezo.
Kuna shule inapokea ada si chini million kwa nusu term, Raia aliuezoea kudunduliza mtoto asome shule za maana anahali mbaya sana kwa sasa
 
Naomba kujua ni haki kwel kwa shule kuongeza ada katikati ya mwaka
Maana Nina mdogo wang anasoma form six ada imekuja kuongezeka katikati kweny muhula wa pili wa 4m6
.
Wanamadhumuni ya kuwaondoa wasio na uwezo kifedha kwenye Shule za binafsi
 
Back
Top Bottom