my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
sasa kama uzi wako ulikuwa pasipo stahili ulitaka iweje....am sorry my thread was moved 2 the chit chat forum. i had nothin 2 do wth it n i feel vry uncomfortable here. i think admins shud consider a members preference as 2 where he o she posts his o her thread. ok am goin back 2 other topics area, thnx guyz
Uendelee kutuumiza ee??Mi ningetaka niongezewe makalio
...sasa kwa mbaaaali naanza kukuelewa..itakuwa ZIKA ilifanya yake ukazaliwa na kibichwa kama mbegu ya ubuyu ndo mana akili zako mbili toa tisa!Ungepewa muda uongezewe kiungo mwilini ungetaka uongezewe kiungo gani? kwanini?
Me ningetaka niongezewe kichwa kwa sababu napenda kuwaza.
Asanteni.
Utakua uko flat (huna), maana kila mtu huomba kilichopunguaMi ningetaka niongezewe makalio
ipo Kama katlego sibeko wa isidingo wala cnq flat but mi mwili wangu mkubwa.Nataka niwe kama nina zamdelaUtakua uko flat (huna), maana kila mtu huomba kilichopungua
Halafu mimi niongezewe naniliu [emoji85] [emoji85] mbili na pipa moja la vitaminMi ningetaka niongezewe makalio
haha ha haaa!ukamkomoe mkeo?Halafu mimi niongezewe naniliu [emoji85] [emoji85] mbili na pipa moja la vitamin
Wala basi tuuhaha ha haaa!ukamkomoe mkeo?
We mbayaa wewe
...nimeishia kutabasamu tu,nimekuelewa sana!ipo Kama katlego sibeko wa isidingo wala cnq flat but mi mwili wangu mkubwa.Nataka niwe kama nina zamdela
ningependa niongezewe side mirror ili wanapopita warembo nisihangahike kugeuka , jana nimetumbukia mtaroni nilipogeuka kumwangalia dada aliyejaaliwa ingesaidia sana