Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

PICHA daktari wa kizungu kutoka ulaya amekuja umasaini kuwashauri wamasai waachane na mfumo wao wa maisha wa kiasili wa kula vyakula vyao vya asili ya kimasai nyama na maziwa kuwa vina madhara kiafya

SWALI kwa kuangalia picha kati ya hawa wamasai wanaoishi maisha yao ya kiasili na daktari kutoka ulaya ,ukiwatazama nani ANAHITAJI KUBADILISHA MTINDO EWA MAISHA ,IKIWEMO ULAJI WA VYAKULA

AFRIKA utumwa mkubwa tulionao ni utumwa wa KIFIKRA...tumeuziwa uongo mwingi sana tukaacha NJIA ZETU BORA ZA KIASILI asili yetu tukageukia UONGO tulioletewa tukauamini kuwa ni kweli.
 

Attachments

  • FB_IMG_1790171009193.jpg
    282.2 KB · Views: 11
Ukweli wa kisheria na kihistoria kuhusu kesi maarufu ya Dr. Sebi (jina lake halisi Alfredo Bowman) ya mwaka 1987–1988 katika Mahakama ya New York una mkanganyiko mkubwa kati ya yale yanayoaminika kwenye mitandao na ukweli uliopo kwenye kumbukumbu za mahakama. [1, 2, 3]
Zifuatazo ni hatua halisi zilizotokea mahakamani na jinsi kesi hiyo ilivyomalizika:

1. Chanzo cha Kesi
Mnamo mwaka 1987, Dr. Sebi aliweka matangazo kwenye magazeti makubwa ya New York (kama Village Voice na Amsterdam News) akidai kuwa taasisi yake ya USHA Herbal Research Institute imepata dawa ya kuponya kabisa UKIMWI, Saratani, Kisukari, na magonjwa mengine. [1, 2]
Kufuatia matangazo hayo, Mwanasheria Mkuu wa New York, Robert Abrams, aliamuru akamatwe. Dr. Sebi alifunguliwa mashitaka ya jinai kwa kosa la kufanya kazi ya udaktari bila leseni (practicing medicine without a license). [1, 2]

2. Kilichotokea Mahakamani (Kesi ya Jinai - 1988)
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Brooklyn (Brooklyn Supreme Court) mwaka 1988: [1]
    • Ushahidi wa Wagonjwa: Jaji alimtaka Dr. Sebi kuleta wagonjwa ambao angeweza kuthibitisha walikuwa wagonjwa na wamepona chini ya uangalizi wake. Inaripotiwa kuwa Dr. Sebi alileta mashahidi (wagonjwa wa zamani) kati ya 70 hadi 77 mahakamani wakiwa na vyeti vyao vya matibabu kuonyesha walipona.
    • Uamuzi wa Baraza la Wazee (Jury): Baraza la wazee la watu 12 lilimkuta Dr. Sebi hana hatia (not guilty
 
 

Attachments

  • SEBB.jpg
    38.7 KB · Views: 13
  • SEBI.jpg
    44.5 KB · Views: 8
1. Ezekieli 47:12
Katika unabii huu wa Agano la Kale, Biblia inaeleza kuhusu miti itakayomea kando ya mto unaotoka hekaluni: [1]

"Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula... matunda yake yatakuwa ni chakula; na majani yake yatakuwa ni dawa." [1, 2]

2. Ufunuo 22:2
Katika Agano Jipya, Yohana anaeleza maono ya mji mpya wa Yerusalemu ambapo mti wa uzima upo kando ya mto wa uzima: [1]

"Katika kati ya njia kuu yake. Na upande huu na upande huu wa ule mto, ulikuwapo mti wa uzima, uzaao matunda, aina kumi na mbili, wenye kutoa matunda yake kila mwezi; na majani ya mti huo ni ya kuwaponya mataifa." [1, 2]

Mambo mengine ya kuzingatia katika Biblia:
  • Mwanzo 1:29: Mungu alitoa mimea na miti yote inayotoa mbegu tangu mwanzo ili iwe chakula. Katika tamaduni nyingi za kibiblia, chakula cha asili kilitumika pia kama kinga na matibabu ya mwili. [1]
  • Isaya 38:21: Kuna mifano ya matibabu ya asili yaliyotumika, kama vile Mfalme Hezekia alipopakwa "mkate wa tini" (babu wa dawa za asili) kwenye jipu lake ili apone. [1]
Maandiko haya yanaonesha kuwa uumbaji wa mimea na miti una makusudi mawili makuu: kuwa lishe (chakula) na kuwa chanzo cha uponyaji na afya (dawa
 
earth
 

Attachments

  • eart 3.jpg
    110.9 KB · Views: 13
  • earth 2.webp
    25.4 KB · Views: 14
  • earth1.jpg
    24 KB · Views: 13
umekula chumvi nyingi=nyinyi ni chumvi ya dunia/ulimwengu.
Hii ni kauli kutoka katika Biblia kwenye Mathayo 5:13, ambapo Yesu anawaambia wafuasi wake kwamba wao ni chumvi ya ulimwengu. [1]

Maana Yake
    • Kutoa Ladha: Kama vile chumvi inavyotia ladha kwenye chakula, waamini wanapaswa kuleta mema, amani, na maadili mazuri katika jamii inayowazunguka.
    • Kuzuia Uharibifu: Wakati wa Yesu, chumvi ilitumika kuhifadhi chakula ili kisori au kuoza. Wafuasi wa Kristo wanatakiwa kuzuia maovu na mmomonyoko wa maadili duniani.
    • Kupoteza Ladha: Yesu anaonya kwamba chumvi ikipoteza nguvu yake, haifai tena kwa kitu chochote ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. Hii ina maana kwamba Mkristo anapoacha kuishi kulingana na neno la Mungu, hupoteza ushawishi wake wa kiroho
 

Attachments

  • lie namba 7.jpg
    123.4 KB · Views: 9
Mkuu hivi kuogea chumvi ni sawa
 
Mkuu hivi kuogea chumvi ni sawa
2 Wafalme 2:19–22. Watu wa Yeriko walimwambia Elisha kwamba maji ya mji huo yalikuwa mabaya na ardhi ilikuwa haizai.

Elisha akaomba walete bakuli jipya lenye chumvi, kisha akaenda kwenye chanzo cha maji na kuitia chumvi. Akasema:
“Bwana asema hivi: Nimeyaponya maji haya; hakutakuwa tena na mauti wala kuharibika kutoka humo.”

2 Wafalme 2:21
Na Biblia inaendelea kusema kwamba maji yale yakaponywa, kama Elisha alivyosema. 2 Wafalme 2:22
 
Asante mkuu... noted!
 
Mkuu siku hizi si jambo baya kujichunguza juu ya afya yako ya akili. Stresses zikiwa nyingi plus much unsolved problems humpelekea mtu kuja na hisia tofauti na wengine.

Suala la uwepo wa kioo kigumu juu ya nchi badala ya tabaka la hewa ndilo linaniogopesha zaidi kutoka kwako. Sayansi na teknolojia kwa sasa viko juu sana kuhusu dunia yetu, maandiko yenyewe yameligusia hilo kwa nyakati zetu.

Jambo la msingi ni utambue, Biblia haijataja kabisa kuhusu kuumbwa kwa dunia, bali inataja juu ya uwepo wa dunia huku sura yake ikiwa imezungukwa na vilindi vya maji, giza, na ukiwa, huku Roho ya Mungu ikiwa juu yake.

Kwa hiyo maandiko hayataji kuumbwa kwa maji, bali inasema yalikuwapo na Mungu akayatenganisha na nchi kavu ili iwe makazi ya wananadamu, mimea, na wanyama wengine ili vizaliane kwa jinsi yake.

Kwa hiyo yule Joka kutupwa juu ya nchi na malaika zake tukio hili lifanyika kabla ya binadamu kuumbwa na kuishi juu ya nchi. Ila ni bayana kuwa alitupwa dunia na kuwekwa kifungoni kwa muda kuzimu ili asubiri hukumu yake ya milele katika ziwa la moto.

Shetani alikuwa wa kwanza kutupwa juu ya nchi kabla ya uwepo WA mwanadamu. Na hakanushi juu ya dai hilo, kwani hunena wazi kuwa ni mali yake na milki zake, naye humpa atakaye akitaka, alimjaribu Yesu kwa hilo na hata naye hakumpinga juu ya hilo, bali alimkemea katika suala la kutaka kuabudiwa kama Mungu.
 
Kwa hiyo yule Joka kutupwa juu ya nchi na malaika zake tukio hili lifanyika kabla ya binadamu kuumbwa na kuishi juu ya nchi. Ila ni bayana kuwa alitupwa dunia na kuwekwa kifungoni kwa muda kuzimu ili asubiri hukumu yake ya milele katika ziwa la moto.

1.Shetani hayupo kifungoni kuzimu.
Kule kuzimu aliyefungwa ni ABADON/APOLION

wapo na wengine fallen angels kule chini ya mto Euphrates malaika 4 na wengine .

ILA SHETANI yupo free anazunguka zunguka humu DUNIANI kama simba aungurumaye akitafuta MTU ameze.

Ndiye mshitaki WETU.

kule kuzimu ana enzi yake ..ofisi zake

Shetani pia ana enzi yake katika mbingu hapa juu angani(mkuu WA anga ,na majeshi yake majemedari WA angani,wenye mamlaka WA kipepo)

Pia shetani alipata mpaka mbinguni Tena kwenda kwa MUNGU kumshitaki AYUBU ,na anaongea na Mungu,na anazunguka huku na HUKO DUNIANI..na alienda bustani ya edeni kumjaribu ADAM na HAWA na hata YESU pia alimjaribu.

Shetani ana zunguka maeneo yote kuzimu,DUNIANI , mbinguni angani.
(Kwa mujibubwa biblia soma MAANDIKO utayaona)


Uwepo WA firmament ni WA kibiblia ,biblia inasema DUNIA ni BAPA Ina kingo za barafu,na Ina nguzo chini ya bahari.
Biblia haisemi DUNIA NI SPHERE.
google TU mwenyewe shape ya DUNIA kibiblia utapata majibu tumia TU hata AI.
na hiyo firmament ndiyo inatenganisha maji YALIYOPO angani na ARDHINI...na Ina madirisha na milango ya mbinguni(soma biblia Yako)
 
😂😂 sina hakika na ulichoandika
 

Maandiko hayataji kuumbwa KWA maji?

Mungu ndiye aliyeviumba vitu vyote (soma biblia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…