Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

soma haya kwa kina

https://www.jamiiforums.com/threads...otent-singularity-imeandaliwa-na-iit.2483819/
 
UONGO MWINGINE ETI PUNYETO HAINA MADHARA,PUNYETO NI HATARI KIROHO...NA HATA NGONO NI HATARI KIROHO KUFANYA TENDO LA NDOA NA MTU ASIYE MWENZA WAKO KIROHO

the spirituality of masterbation

View: https://youtu.be/dZrCsOiLF24?si=IFtF38btqJShMHHS
Kuna umuhimu gani wa Roho na kila mwili na nafsi zitapotea ulimwenguni?

 

DAWA ZA MENO DAWA ZA MSWAKI...????
 
Kama dunia ni flat means Ina mwisho Kuna sehem ukifika Kuna izo kingo

Ehee tuelezee apo
 

View: https://youtube.com/shorts/atbQ0Ay4kTk?si=zOCMQkT3w0KhnJ_m

#DR SEBI.
#NIPSYE HUSTLE (DR SEBI DOCUMENTARY)
 
SIKU WAAFRIKA WATU WEUSI WATAKAPOJITAMBUA KUTOKA UTUMWA WA KIFIKRA NA KUELEWA WAO NI KINA NANI NA NGUVU WALIYONAYO NA WAKAWA NA UMOJA NDIO UTAKUWA MWISHO WA UKOLONI MAMBO LEO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…