UONGO GANI ULIWA KUDANGANYA UKAJA UKAUMBUKA

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Mimi kuna demu nlimdanganya nipo south Africa nasoma siku akaja nifuma nipo road nasukuma baiskel ya mkaa uku kitumbo wazo majasho yananitoka nlivomuona nlitoka mbio nusu nivunje mguu...
 
Mimi nilipiga dili la pesa na jamaa yangu mmoja sasa nikamwambia tusubiri hela kwa mteja akilipa tutagawana huku kumbe zamani nishavuta mpunga haaa!! Siku si nyingi jamaa yangu uso kwa uso na mteja yule akamuulizia vipi hela yetu lini mteja akamwambia mbona nimeshalipa siku ile ile vp mwenzako hajakwambia.. Daah!! [emoji100] ilikuwa balaa muda huo nishatumbua mpunga karibia woteeee...
NB: Dhuluma sio nzuri kwenye kutafuta..
 
Mimi nilimdanganya demu niko chooni, kumbe niko bafuni alishangaa aliposikia nalalamika kuwa sabuni imeniingia machoni. Akaniuliza unaenda chooni na sabuni kwani unaenda kupiga kitu?
 
Hapo ukute jamaa ni bonge la kipande
 
Mimi nilimdanganya demu niko chooni, kumbe niko bafuni alishangaa aliposikia nalalamika kuwa sabuni imeniingia machoni. Akaniuliza unaenda chooni na sabuni kwani unaenda kupiga kitu?
Uliingia na sim bafun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…