Uongo gani wa kijinga uliowahi kuutunga huku ukijiona mjanja

Mish Albert

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
657
Reaction score
581
Habari wana members!!!na heri ya mwaka Mpya

Kuna nyakati katika maisha mtu waweza kufanya jambo la kipuuzi hata bila kufikiri na ukajiona upo Sawa
Hayo hutokea katika maisha

Je ni kitu gani cha kipuuzi ulichowahi kufanya au uongo wa kijinga uliowahi kuutunga huku ukijiona mjanja?
 
juzi hapo kakobe alitudanganya kuwa Ana hela kuliko Serikali; TRA walivyombipu akaanza kubadili kauli.
 
mi kipindi mdgo mama alinambia " we nenda kaoge" nikamwambia mama nilioga juzi mbona.....akanangalia then akaendelea na ishu zake....nikajiona nipo perfect..
 
"Sio kwamba sijui Kiingereza, Hapana sipendi tu kuongea nisionekane bishoo"

Mwaka 1994 nilimdanganya Binti mmoja wa Kirangi (Husna)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…