Uongo huaminika sana

Uongo huaminika sana

macro

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
115
Reaction score
122
Wakati wa usajiri siasa uongo na kiki kwa viongozi wa timu za mpira hutamalaki.

1. Wakati wa uchaguzi wa kumchagua Rais wa timu hiyo kuna mchezaji alitumika kama kiki ili Rais achaguliwe kwa kishindo. Nilimsikia akisema nimeleta high profile player kutoka Ligi Kuu ya Uingereza timu ya Newcastle UTD, nilicheka sana.

2. Kuna mchezaji alitambulishwa usiku wa manane huku watambulishaji wakijinadi huyu ni kwa ajili ya mechi za kimataifa, nilicheka sana.

3. Mwishon wa usajiri akasajiliwa mchezaji anasifika kwa kukimbia, wachambuzi wakapanga kikosi wakasema kule M huku T master kati dokta juu kidogo Key aise hamna wakutuzuia kimataifa, nilicheka sana.

4. Wakaletwa vijana wawili kama waongeaji wa timu hiyo mmoja ni Mkuu wa mambo ya Digitali, mmoja wao akasema tunaenda makundi maana timu tutayokutana nayo round ya kwanza haina kikosi, inajitafuta tu. Kingine sasa hivi sisi ni wakubwa hapa Africa Mashiriki, nilicheka sana.

5. Sasa hivi kuna wimbo wanasema lazima makundi hii timu itaenda maana wana kikosi bora sana kuliko timu yoyote Africa mashariki, ngoja tuone.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Takwimu zinaongea, Tafuta timuyako yoyote unayo iamini kuwa yenyewe ni Bora apa Tanzania kuliko Yanga alafu linganisha izo takwimu.
Huitaji kubishana na mtu, fanya tathmini na atuhitaji jibu sisi majibu tunayo ila jiridhishe wewe mwenyewe.
 
[emoji856]
IMG-20221014-WA0106.jpg
 
Takwimu zinaongea, Tafuta timuyako yoyote unayo iamini kuwa yenyewe ni Bora apa Tanzania kuliko Yanga alafu linganisha izo takwimu.
Huitaji kubishana na mtu, fanya tathmini na atuhitaji jibu sisi majibu tunayo ila jiridhishe wewe mwenyewe.
Tukutane makundi kwanza ndio tujue nani bora
 
Mkuu umeuvamia mpira au ndo unajifunza mpira.

1. Hivi ni nani asingempigia kura Eng. Hersi?

2. Unaongelea kuhusu usajili ni timu gani duniani usajili wake huwa unafaulu 100% kila msimu?

3. Hapa kelele zote hizi mnaleta huku Yanga imetoka draw 1-1 sa ingefungwa sijui mngeleta ngonjera za namna gani?
 
Takwimu zinaongea, Tafuta timuyako yoyote unayo iamini kuwa yenyewe ni Bora apa Tanzania kuliko Yanga alafu linganisha izo takwimu.
Huitaji kubishana na mtu, fanya tathmini na atuhitaji jibu sisi majibu tunayo ila jiridhishe wewe mwenyewe.
Takwimu gani unatumia?
Timu yako kwa takwimu walizonazo CAF Ina Decimal point 0.5...
Namungo anazo Pointi 2 kwaiyo yupo juu yako.

Wewe una takwimu za LIGI YA NBC ?
 
Takwimu zinaongea, Tafuta timuyako yoyote unayo iamini kuwa yenyewe ni Bora apa Tanzania kuliko Yanga alafu linganisha izo takwimu.
Huitaji kubishana na mtu, fanya tathmini na atuhitaji jibu sisi majibu tunayo ila jiridhishe wewe mwenyewe.
Hakuna timu ya maana inayoweza kujivunia takwimu za ligi ya NBC huku kimataifa hovyo.
 
Mkuu umeuvamia mpira au ndo unajifunza mpira.

1. Hivi ni nani asingempigia kura Eng. Hersi?

2. Unaongelea kuhusu usajili ni timu gani duniani usajili wake huwa unafaulu 100% kila msimu?

3. Hapa kelele zote hizi mnaleta huku Yanga imetoka draw 1-1 sa ingefungwa sijui mngeleta ngonjera za namna gani?
Angalieni na uwezo wa kocha. Kocha Nabi ana plan A tu, ya kukimbia kwa kasi ya ajabu. Tactics zero.
 
Wakati wa usajiri siasa uongo na kiki kwa viongozi wa timu za mpira hutamalaki.

1. Wakati wa uchaguzi wa kumchagua Rais wa timu hiyo kuna mchezaji alitumika kama kiki ili Rais achaguliwe kwa kishindo. Nilimsikia akisema nimeleta high profile player kutoka Ligi Kuu ya Uingereza timu ya Newcastle UTD, nilicheka sana.

2. Kuna mchezaji alitambulishwa usiku wa manane huku watambulishaji wakijinadi huyu ni kwa ajili ya mechi za kimataifa, nilicheka sana.

3. Mwishon wa usajiri akasajiliwa mchezaji anasifika kwa kukimbia, wachambuzi wakapanga kikosi wakasema kule M huku T master kati dokta juu kidogo Key aise hamna wakutuzuia kimataifa, nilicheka sana.

4. Wakaletwa vijana wawili kama waongeaji wa timu hiyo mmoja ni Mkuu wa mambo ya Digitali, mmoja wao akasema tunaenda makundi maana timu tutayokutana nayo round ya kwanza haina kikosi, inajitafuta tu. Kingine sasa hivi sisi ni wakubwa hapa Africa Mashiriki, nilicheka sana.

5. Sasa hivi kuna wimbo wanasema lazima makundi hii timu itaenda maana wana kikosi bora sana kuliko timu yoyote Africa mashariki, ngoja tuone.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Walivyokuwa wanawapokea wageni na kuwapa mbinu chafu pamoja na hersi na yule mke wake na senzo waliona rahisi sana kucheza Caf champions league leo sasa watu waliokuwa wanatoa mbinu na wao wanaogopa kufanyiwa hujma maajabu haya
 
Mkuu umeuvamia mpira au ndo unajifunza mpira.

1. Hivi ni nani asingempigia kura Eng. Hersi?

2. Unaongelea kuhusu usajili ni timu gani duniani usajili wake huwa unafaulu 100% kila msimu?

3. Hapa kelele zote hizi mnaleta huku Yanga imetoka draw 1-1 sa ingefungwa sijui mngeleta ngonjera za namna gani?
Tatizo yanga hamjui kuweka akiba ya maneno kaondoka mzungu mkashingilia tumepigwa sasa wale wazee kina bigirimana na kambole kocha kawakataa mnaanza ngonjera mkuki kweli kwa nguruwe
 
Kuwa shabiki la Simba unahitaji kuwa mbumbumbu la kiwango cha juu, kolo limeandika utadhani Yanga ishatolewa.
Kwani ww unaonaje hapo? Au bado unaota, amka utajikojolea kitandani iyo ndoto sio nzuri
 
Walivyokuwa wanawapokea wageni na kuwapa mbinu chafu pamoja na hersi na yule mke wake na senzo waliona rahisi sana kucheza Caf champions league leo sasa watu waliokuwa wanatoa mbinu na wao wanaogopa kufanyiwa hujma maajabu haya
Mkuu mbona unapenda kulalamika ovyo.
Kweni hizo mbinu walizowapa wapinzani zilisaidia chochote?
 
Angalieni na uwezo wa kocha. Kocha Nabi ana plan A tu, ya kukimbia kwa kasi ya ajabu. Tactics zero.
Haya yote unaongea sababu Yanga katoa sare? Angefungwa ungesemaje?
Nabi bado ni kocha mzuri tu tupunguze malalamiko.
 
Mkuu mbona unapenda kulalamika ovyo.
Kweni hizo mbinu walizowapa wapinzani zilisaidia chochote?
Ni kweli mbinu mlizowapa hao wageni hazikuwasaidia, na hata nyie zimeshindwa kuwasaidia kwakua ni za kijinga.
 
Mkuu umeuvamia mpira au ndo unajifunza mpira.

1. Hivi ni nani asingempigia kura Eng. Hersi?

2. Unaongelea kuhusu usajili ni timu gani duniani usajili wake huwa unafaulu 100% kila msimu?

3. Hapa kelele zote hizi mnaleta huku Yanga imetoka draw 1-1 sa ingefungwa sijui mngeleta ngonjera za namna gani?
Alipelekewa Moto balaa alikoswa koswa ndo maana tunaona Yanga anaenda kuangukia pua
 
Back
Top Bottom