juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
- Thread starter
-
- #61
Tuwekee picha yako ww basi tuone mnavyoendana mkuu
Duh,kaka mbona sana mnafanana na yule demu?View attachment 370822 lingine sema
Visharobaro bwana, Wanawake wanaojielewa wanataka watu dizaini ya Zila sio walamba lips Kama wewe.View attachment 370822 lingine sema
Duuh kitumbua kileeeJide ni kiboko enzi hizo umeona hii Shepuu ni Hataree
Boy of daslam bwanaView attachment 370822 lingine sema
Hapa umeshakula vichwa na miguu ya kuku.View attachment 370822 lingine sema
word word,sio ndani ya nyumba mnabaki kuibiana mafuta,perfumes na cream. Mwanaume asifiwi sura ati bali kaziVisharobaro bwana, Wanawake wanaojielewa wanataka watu dizaini ya Zila sio walamba lips Kama wewe.
Hahahaa...Hapa umeshakula vichwa na miguu ya kuku.
Pole kipenzi, hopefully uko poa kwa sasa.Damn!Samahani mkuu...siko sawa ndio maana nimeshindwa kuielewa habari.
Idadi yetu inaporomoka kwa kasi ya UDART....eti hajui kuvaa....ina maana huwa anageuza viatu ama?
Kati ya wewe na Zilla, Mi ningemchagua Zilla. Hii habari ya mwanaume kuspend pesa kwenye vipodozi kunizidi mwanamke siitaki kabisa, familia itakuwa masikini miaka yote kisa mme anajipodoaView attachment 370822 lingine sema
View attachment 370822 lingine sema
asa zilla ana pochi gani na wewe,au ashakuwa kangaroo?Watu wanaangalia pochi sura hata paka anayo