Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Utakutana nae wapi?
 
Ukutane nae wapi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mosi, ntakutana na Mungu yupi? People created so many of them

Pili, tutakuna naye wapi?
 
Mkuu infinity do exist

Emn naomba nitajie number ya mwisho wewe unayoijua

Numbers are infinity mkuu
 
Biblia inasema mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu, pia MITHALI 30:5 - 6 inasema, Kila Neno la Mungu limehakikishwa, yeye ni Ngao yao wamwaminio.

niweke ushuhuda wa maisha yangu, maishani mwangu nimethibitisha pasi na shaka kwamba Neno la Mungu li hai, tena lina Nguvu, kwa kuliamini na kulifuata au na kulikiri vile lilivyo, Nguvu za giza huwa zinashindwa kabisa kabisa. Mungu akusaidie sana, hata watu wa mtaani wasio mjua Mungu wanasema ni heri uamini Mungu yupo kuliko kuamini kwamba hayupo ukaenda kumwona siku ya mwisho wako, ni hatari na kilio na kusaga meno, Mungu akufungue macho yako.

lakini hata pamoja na kufuru hii, Mungu bado anakupenda na anaweza kukusamehe dhambi zako zote kabisa, hata hii kufuru utasamehewa kama utaamua kutubu na kubadilisha maisha yako, uokoke ili uone utukufu wa Mungu maishani mwako.ni ushauri ambao ukiufuata utakusaidia sana ila kama hautaufuata kuna siku utaukumbuka wakati imekuwa too late. Jina la Bwana libarikiwe.
 

A nice piece of religious PROPAGANDA....... VITISHO [emoji23]

“Mungu” hajawahi kuandika kitabu chochote mkuu
Hizo ni Hadithi na hekaya za kusadikika ambazo hazina ukweli wala uhalisia

Nikupe mistari ya Bibilia hapa inayo onyesha Hayupo Mungu mwenyewe sifa mnazo dai anazo?
 
Iv nikuulize asili ya kila kitu , kuhus wewe, vitu vilivyopo unahisi nan creator?, au why wew na mimi tume exist?, why kuna races tofaut tofaut, why sex zpo mbili.
Mosi, ntakutana na Mungu yupi? People created so many of them

Pili, tutakuna naye wapi?
 
Iv nikuulize asili ya kila kitu , kuhus wewe, vitu vilivyopo unahisi nan creator?, au why wew na mimi tume exist?, why kuna races tofaut tofaut, why sex zpo mbili.

Mkuu mimi kwa hakika SIJUI
 
Ujinga tu na ego ya intelligence waliopewa

Watu wanataka Mungu awe wanavyotaka wao ili wampime kwa kadiri ya ufahamu wao
Si kweli,

Wewe zndiye unataka Mungu awepo, na awe jinsi unavyotaka wewe.

Lakini ukweli Mungu huyo hayupo.

Maybe kama utaweza kumthibitisha hapa.

God is beyond Matter Space and time
Absolutely true, And this is the good definition for something which does not exist.!
 
Si kweli,

Wewe zndiye unataka Mungu awepo, na awe jinsi unavyotaka wewe.

Lakini ukweli Mungu huyo hayupo.

Maybe kama utaweza kumthibitisha hapa.


Absolutely true, And this is the good definition for something which does not exist.!
Mtu yoyote akisema hakuna Mungu ni moja kwa moja huyo mtu akili zake ni mbovu 100%
 
Space and time vipo ndani ya mungu ....mungu hawezi kuwa na time kwa sababu yeye apungui chochote wala aongezeki chochote ndiyo maana anao uwezo wa kurudisha muda nyuma au kuupeleka muda mbele au kufuta kabisa muda (time)
 
Immanuel Kant discovered a moral faculty....from philosophical perspective god is real....

From evolutionary perspective god is another blind force.....
Good to have both science and non science mind...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…