Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Hoja yangu ni kukuomba uproof jibu lako la kuwa kuna Mungu.

Na inaonesha ni kwamba umeshindwa lakini una imani potofu tu.

Wewe unataka nitoe hoja kuhusu nini?
Nimeshakuambia mara kibao unataka dunia iwe sawa watu wote wawe sawa😂...


Sijaona hoja yako wala wenzio maana unalazimisha dunia watu wote wawe sawa.

Mungu ndio anayeratibu kila kitu kwa kifupi ndio maana yupo.!!
 
Mbinguni huendi bila kusoma, kwani mbinguni ni wapi?
 
Inawezekana vipi Mungu mjuzi wa yote atake kutupima?

Unamaanisha hajui matokeo?
Binadamu kapewa akili ndio maana anaweza kupambana dhidi ya mitihani pia ni kiumbe bora bora kabisa.

Hata shule mnapewa mitihanu kujua kutokana mmesoma.
 
Mkuu usilete mchezo na bikra 72[emoji3]
 
Smotor unahitaji ushahidi Wa aina gani kuthibitisha kwamba Mungu yupo??

Mpaka sasa uthibitisho uliotolewa kuonyesha Mungu yupo pasi na shaka ni huu

[emoji117]Dunia na vyote vilivyopo LAZIMA vimeumbwa...... na aliyeviumba ni Mungu

[emoji117]Mungu amejithihirisha kwenye vitabu vyake vitakatifu

[emoji117]Mambo yote asiyo yafahamu binadamu ndio ushahidi wa Mungu kuwepo

Hapo hakuna USHAHIDI wowote wa uwepo wa Mungu

Labda wewe unao
Tunaomba utufahamishe
 
sawa baba wewe sindo uliyeweka sukari katika embee tunakushuru

Kwanini unadhani embe kuwa tamu ni kitu special sana hadi uulize?

Mawazo yako yanahisi kwamba state iliyo common kwa vitu vyote ni kuwa tasteless, yaani viwe kama maji tu.

Kwamba ili kiwe kitamu lazima viwekwe sukari kama chai!?

Hoja yako ni insane

Eleza Sukari ni nini!?
 
Sababu Mtume alikuwa Muarabu akaileta kwa Kiarabu,kisha wengine wakajifunza Kiarabu, na uwezo wa kujifunza akauweka ndio maana tunajifunza na tunakijua, maana ukiona hujui Kiarabu ni wewe hujafanya juhudi, kwahiyo hii haiwezi kuwa hoja.
Aliileta kiarabu vipi Tena wakati huko juu umesema mitume kuanzia Adam Musa, Hud walikuwa waislamu wote. Wao walisoma kuran ipi nyingine ustaadh!?
 
Kwa nini ni hadithi za kusadikika?
Ni hadithi za kusadikika kwa sababu Hazipo kwa namna yoyote ile,

Hazionekani, Hazishikiki, Hazisikiki, Hazihisiki.

Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo kati ya hizo nne, Mfano upepo haupo kwa kuonekana ila upo kwa kusikika, Joto na baridi havionekani ila vipo kwa kuhisika na kutambulika vipo.

Sasa Mungu, Shetani, Roho na Mbingu [emoji116]

HAVIPO KWA NAMNA YOYOTE ILE.

Zaidi ya mawazo ya kufikirika tu, Imagination just an illusion.

Ukisema vipo, Eleza vipo kwa namna gani?

Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…