UONGO MWINGINNE HATA HUFAI!
jamaa:unasoma?
demu:sisomi,vipi wewe unasoma?
jamaa:ndio nipo kidato cha nne roleto.
demu:jamani hiyo si ni shule ya wasichana?
jamaa:aaah nimechanganya nipo ngaza
demu:mweeembona nayo ya wasichana
jamaa:ha! ha! ha! nilikuwa nakutania tu nachukua masters VETA.
demu:mh ina maana VETA imeanza kutoa masters?
jamaa:ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini unaniuliza maswali kama tuko uhamiaji?
KWA TAARIFA NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE
[/SIZE]
Hivi usipodanganya dem huchukui au inakuwaje
Unaposema uongo kuwa makini.
kuna jamaa m1 aliwadanganya wa2 kuwa yy ni baharia na ameshawahi kutembelea nchi nyingi km Italy, England, Afrika yote, Marekani, akaambiwa basi utakuwa unaijua sana Geography? akajibu,aaaa! pale Geography tulikaa wiki 2 lkn ckupata kutembea nilikua naumwa
duh! Nalog off
Umeona eh!Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Makunguru International School Mbeya.
Makunguru International iko wapi mkuu.Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Makunguru International School Mbeya.
ha! ha! ha! jamaa sound kwishaaaaa