Wanaposema kizazi kiko karibu hawana maana ya maumbile ya kifizikia ya umbali wa mita au sentimeter.
ni kuwa wana urahisi, wanapata mimba kwa wepesi zaidi,
labda inawezekana mayai yao YOTE yako na afya, mirija yao yote safi, hivyo hakuna bahati nzuri au mbaya.
Wadada wengi siku hizi kutokana mambo mbalimbali utakuta ana mrija mmoja tu mzima, au mayai mengine yamechoka hivyo mimba ni za kuvizia kila msimu inabidi kubahatisha