Uongo ni nini?

uongo ni taarifa isiyo ya kweli inayokaribiana na ukweli
note:uongo ni dhambi
 
Kuna mtu ambaye hajawahi kuongopa wajameni.

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.


Naombeni jibu uongo ni nini?

Eti mapenzi bila uongo hayaendi? HAYAFANIKIWI.

JAMANI KWANI UONGO NI NINI?

Mrs Mganga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ni tamathali yenye maelezo yenye dhana ya kukinzana na uhalisia juu ya msingi tabainishi na kulazimisha sitiari na kuficha kunga za mlengwa katika jambo.πŸ˜›πŸ˜€
 
Uongo ni ishara ya upendo wa dhati. kwasababu ya;
Unampenda binti ila gia zote anachomoa inabidi utumie bomu la uongo wa namna namna utampata.
Boss ukimwambia ukweli pale anakosea anawaka na atakuona wewe hufai kuwepo chini yake, inabidi umpe sifa za uongo ili ubaki.
 
Uongo huanza pale unapo tongozwa mwanaume nikasema sijawahi kuona mwanamke mzuri kama wewe. Wakati ukijua mwenyewe kuna wadada wakali hatareee


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hata jina lako na avatar n uongo tosha.
Bado fake life unayo tuhadithiaga humu ndan. Demiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…