Sawa mkuu, karibu napika!Mimi nipo humu sana tu
Nafurah kukuona hata hivyo
Hapana mie sio muongo,wenyewe waongo si umeona wameelezea hapo.
Unaona sasa na wewe umedanganywa na avatar. Tako nalitolea wapi mimi lakini? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema mnatuweza wallahi!
Yani hata mtaani nikisikia neno mzigua tu, napata picha ya the JF big booty lady!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ukisemwa sana unageuka ukweli. Tushazoea sasaaUnaona sasa na wewe umedanganywa na avatar. Tako nalitolea wapi mimi lakini? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HaiyaaaUongo ukisemwa sana unageuka ukweli. Tushazoea sasaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi bila uwongo hayapo..... HIVI KWA MFANO, LEO HII MWANAUME AMWAMBIE MWANAMKE ANATAKA AMGEGEDE TU HALAFU KILA MTU ASHIKE HAMSINI ZAKE, nani atakubali?Kuna mtu ambaye hajawahi kuongopa wajameni.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Naombeni jibu uongo ni nini?
Eti mapenzi bila uongo hayaendi? HAYAFANIKIWI.
JAMANI KWANI UONGO NI NINI?
Mrs Mganga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani pasi ya mkaa imekuhusu?