Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=YHROSSEMzmY
View: https://www.youtube.com/watch?v=Rx6yIeqvh8o
View: https://www.youtube.com/watch?v=deiShtWReYE
Wewe, waislamu wenzio wa Palestina ni waongo tu. Na mara wakiwa wamebano na ushetani ukiithiri dhidi ya waarabu wenzao wanaowatelekeza basi hufichua siri yoote kuwa wao kiukweli ni waarabu wenye asili huko Misri, Saudia na Jordan.Chuki mmeipanda wenyewe alafu mnashangaa wapalestina wakichukia wakoloni? Hivi Idd Amin angeikalia Kagera hadi leo kuna mtu angeipenda Uganda?
Kajipange vizuri hata hujui hiyo Palestina unayoishobokea ilianzishwa na Yasser Arafat 1967Chuki mmeipanda wenyewe alafu mnashangaa wapalestina wakichukia wakoloni? Hivi Idd Amin angeikalia Kagera hadi leo kuna mtu angeipenda Uganda?
Hata huko Gaza walianza wenyewe na sasa hivi wamekalia kubwa wana GENOCIDE!!! Taqiyya tupu. Na uongo kwao ni Sunna!!!Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=YHROSSEMzmY
View: https://www.youtube.com/watch?v=Rx6yIeqvh8o
View: https://www.youtube.com/watch?v=deiShtWReYE
Mimi sio muislam, mkapa, Nyerere na Mandela wote ni wakristo ila waliunga mkono Palestine. Hata julius malema ni mkristo ila anaipambania Palestine!Wewe, waislamu wenzio wa Palestina ni waongo tu
Kumbe!! Kwahiyo Tanzania kuanzishwa 1964 ina maana hakukuwa na wenyeji kabla ya 1964? Au hiyo British palestine waliishi wazungu?Kajipange vizuri hata hujui hiyo Palestina unayoishobokea ilianzishwa na Yasser Arafat 1967
Hao wote uliowataja wewe umewafanya kuwa miungu kwako? Wote ni binadamu wanaweza kufanya makosa.Mimi sio muislam, mkapa, Nyerere na Mandela wote ni wakristo ila waliunga mkono Palestine. Hata julius malema ni mkristo ila anaipambania Palestine!
Tuliza akili Acha papara haijawahi kutokea Palestina ikawa nchi bali wajinga kama wewe wanashobokea hiyo kitu lakini toka mwanzo haijawahi kuwepo!!Kumbe!! Kwahiyo Tanzania kuanzishwa 1964 ina maana hakukuwa na wenyeji kabla ya 1964? Au hiyo British palestine waliishi wazungu?
Embicile
Ndio sasa usiseme kila anayepinga utawala haramu wa kizayuni eti ni muislam. Tupo wakristo ambao hatufurahishwi na uonevu wa aina hii.Hao wote uliowataja wewe umewafanya kuwa miungu kwako? Wote ni binadamu wanaweza kufanya makosa.
Ndio nakuuliza kabla ya 1961 kulikua na nchi inaitwa Tanganyika?Tuliza akili Acha papara haijawahi kutokea Palestina ikawa nchi bali wajinga kama wewe wanashobokea hiyo kitu lakini toka mwanzo haijawahi kuwepo!!
Hizo propaganda wameshindwa mabasha zako wewe upo Mwabuki utaweza😬Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=YHROSSEMzmY
View: https://www.youtube.com/watch?v=Rx6yIeqvh8o
View: https://www.youtube.com/watch?v=deiShtWReYE
Tumia akili zako vizuri hapo Uislamu na Ukristo umeingiaje? Acha kuwa mtumwa wa fikra Nyerere na Mandela wana mapungufu yao lakini ukweli unabaki palepalr Palestina haikuwahi kuwa nchi na haitatokea iwe nchi kama utaendelea kukaza fuvu nitakuuliza Rais wa hiyo nchi alikuwa nani wakati inachukuliwa.,Pesa yao ilikuwa ipi Dollar,Shilling au Dinar hiyo nchi ilikuwa inapakana na nchi gani?Ndio sasa usiseme kila anayepinga utawala haramu wa kizayuni eti ni muislam. Tupo wakristo ambao hatufurahishwi na uonevu wa aina hii.