Uongo unaoenezwa na Mashabiki wa Arabs na Fanatic Muslims umeharibu hadi kizazi cha Wapalestina wamekuwa nao waongo mbele ya Camera - Ni Aibu sana

Mean while kina bibi netanyahu wanatoka europe , unataka kusema ni ngoma droo au unataka kusema nini mkuu?
 
hata kabla hujanywa chai unawawaza wapalestina.walilie waafrica wenzio wanaochinjana kama kuku hapo Congo
Ipo Thread yako vipi mkuu imekuuma hadi umeshindwa kukaa? makalio yanakuuma?
 
Mean while kina bibi netanyahu wanatoka europe , unataka kusema ni ngoma droo au unataka kusema nini mkuu?
Wewe jielimishe na historia ya the Holy Land. Kwanza mabaki yote yanayofukuliwa pale yanathibitisha Jews ndiyo wenye nchi. Baadhi yao wakawa wakristo, hivyo ukristo una haki miliki pia ya eneo hilo. Hata hiyo Dome of the Rock hakuna ushahidi wa Paedophile Mohammad kuwepo hapo. Kundi kubwa la Wayahudi lilipelekwa uhamishoni na Waroma na Wengine walibaki Holy Land. Hata hivyo kwakuwa Wayahudi waliisha advance sana ktk kutunza utamaduni wao na dini yao kupitia kumbukumbu za vitabu, hawakuisahau nchi yao. Waarabu walianza kuvamia holy land kuanzia 638AD wakitokea uarabuni. Pale siyo nchi yao. Na mbaya zaidi wanatumia uongo. Yale madai ati Mohammad alienda Jerusalem akapaa mbinguni ni ya uongo; kwani Temple Mount ilijengwa 705 AD wakati Mohammad alikufa 632 AD. Hilo Jina la Utaifa wao la Palestine walilipora wakisaidiwa na KGB ya Urusi mwaka 1964.
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi sio muislam, mkapa, Nyerere na Mandela wote ni wakristo ila waliunga mkono Palestine. Hata julius malema ni mkristo ila anaipambania Palestine!
Hawakuwa wamepata taarifa sahihi, hivyo wakigubikwa na siasa za Kijamaa ndiyo maana wakawaunga mkono hao waabudu wa Shetani kaallah. Ninavyomjua Nyerere angeishi mpaka sasa hivi akapata taarifa sahihi kama hapa chini angependua kibao. Malema mwehu huyo wa Kikomunist.
Your browser is not able to display this video.
 
Chuki mmeipanda wenyewe alafu mnashangaa wapalestina wakichukia wakoloni? Hivi Idd Amin angeikalia Kagera hadi leo kuna mtu angeipenda Uganda?
Quran inasema allah ndie anapandikiza uongo kwa watu wasio waislam.. so peleka lawama kwa Allah
 
Mgawanyo wa WAISRAEL kwa misingi ya imani zao:
• WAYAHUDI JUDAISM ni 76%
• WAISLAMU MUSLIMS ni 19%
• WAKRISTO CHRISTIANS ni 3%
• WENGINEO OTHERS ni 2%

Mgawanyo wa WAPALESTINA kwa misingi ya imani zao:
• WAISLAMU MUSLIMS ni 95%
• WAKRISTO CHRISTIANS ni 4%
• WENGINEO OTHERS ni 1%
 
Sikulijua hili, umechanga tone tone mzee wangu 😀😀
 
hata kabla hujanywa chai unawawaza wapalestina.walilie waafrica wenzio wanaochinjana kama kuku hapo Congo
Wewe umeshawalilia Waafrika (Waislam) wenzako wanaochinjana hapo Sudan?
 
Muda utaeleza, key aspect: power shift
 
Kwa takwimu hizo unataka kuleta UMBEYA gani?
 
Ndio sasa usiseme kila anayepinga utawala haramu wa kizayuni eti ni muislam. Tupo wakristo ambao hatufurahishwi na uonevu wa aina hii.
Je unaweza kuniambia Uharamu wa utawala wa Israel? Na huo unaousema wewe uonevu?
 
na kwanini unahisi mada hii ni ya dini?
maana ulianza kwa kunitihumu kwamba mimi ni muislam.
Kwani kuambiwa wewe Mwislamu wakati mwenyewe unadai siyo kuna kosa? Anyway kusema UONGO kwa waislam ni jambo la kawaida kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…