Uongo utakaokuja kuhojiwa

Uongo utakaokuja kuhojiwa

shirima Mathias

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
451
Reaction score
1,333
Ndio iko hivyo,

Ukisemwa ukweli utahojiwa na ukisemwa uongo nao utahojiwa.
Kuhoji huko hakutakuwa na ubaya maana kutakuwa na hoja.

Hata sijui nimeandika nini hapa,, mlioelewa mnieleweshe sasa
 
Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
 
Mapolisi walioendelea kumpiga za matako wana hatia 2:
  • mismanagement of resources (risasi zilipotea bure) na
  • udhalilishaji dhidi ya marehemu.
 
Kabisa haya ni matumizi mabaya ya nguvu
 
Kufahamu, kuelewa jambo na kujiuliza au kuhoji ni hitaji la msingi la afya ya akili. Ukikosa kuhoji unaumwa, utajisikia vibaya, utahisi unanyanyaswa, kuibiwa n.k

Jukwaa hili lipo kwa sababu hiyo (kuhoji, kuuliza na kufahamu), pia ukienda kwenye katiba utalikuta hilo hitaji limewekwa umepewa i usiugue,

Ila kwenye siasa jifunze kuhoji kawaida usiumize sana kichwa

Sawa mkuu!
 
Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Kwa sababu ni gaidi. Gaidi huwa anajifanya zimempata kumbe anawalia timing ni vyema ujilidhishe kwa kuchakaza
 
Kufahamu, kuelewa jambo na kujiuliza au kuhoji ni hitaji la msingi la afya ya akili. Ukikosa kuhoji unaumwa, utajisikia vibaya, utahisi unanyanyaswa, kuibiwa n.k

Jukwaa hili lipo kwa sababu hiyo (kuhoji, kuuliza na kufahamu), pia ukienda kwenye katiba utalikuta hilo hitaji limewekwa umepewa i usiugue,

Ila kwenye siasa jifunze kuhoji kawaida usiumize sana kichwa

Sawa mkuu!
Hii ni sawa na Padri anapotaka kumuingiza muumini wake kwenye Kundi, ana mpatia toba ya kumuuliza "DO YOU REJECT SATAN AND ALL HIS WORKS?? Hapo kimbembe kina anzia hapo Jibu " PERSONALITY or POLITICALLY? sasa hapo padri itabidi ajijibu mwenyewe akili kumukichwa
 
Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Wamenikera kweli,walikuwa wanahatarisha usalama wa askari aliyekuwa amejeruhiwa!
 
Kwa sababu ni gaidi. Gaidi huwa anajifanya zimempata kumbe anawalia timing ni vyema ujilidhishe kwa kuchakaza map*mb* OVER
Twende mbele turudi nyuma,askari wameonesha incompetence ya hali ya juu!
 
Hii ni sawa na Padri anapotaka kumuingiza muumini wake kwenye Kundi, ana mpatia toba ya kumuuliza "DO YOU REJECT SATAN AND ALL HIS WORKS?? Hapo kimbembe kina anzia hapo Jibu " PERSONALITY or POLITICALLY? sasa hapo padri itabidi ajijibu mwenyewe akili kumukichwa
Hili ni somo jingine
 
Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Ili kuonesha kuwa baada ya mapambano makali alitaka kukimbia ndipo wakammiminia hizo risasi, utashangaa watapata tuzo ya ujasiri bila uoga.
 
Kwa sababu ni gaidi. Gaidi huwa anajifanya zimempata kumbe anawalia timing ni vyema ujilidhishe kwa kuchakaza map*mb* OVER
Kwa ule mdondoko alivyoanguka tena kwa kunyanyuka miguu ndo akaenda mzima mzima kwa sisi wataalam/makamisaa unajuaa kabisa hii sio zuga ni kweli sema askari wetu hofu iliwajaa zaidi
 
Twende mbele turudi nyuma,askari wameonesha incompetence ya hali ya juu!
Incompetence wakati wamefanikiwa kuligondosha hilo gaidi? Au hauelewi maana ya gaidi? Gaidi ni mtu yeyote anayefanya uhalifu kwa kusudia kupata kitu fulani. Sasa huyu amewavamia askari kawaua na kupola AK47, hizo silaha alikuwa anataka kuzipeleka wapi? kwa kazi gani? nani kamtuma n.k n.k
 
hao polisi ukiwauliza alierusha ile risasi ya kichwa hata wao hawajui. kumiminia risasi inaonesha walihisi kaanguka tu kama hadaa.

polisi wote walikuwa wamejificha nyuma ya nondo 🤣
 
Incompetence wakati wamefanikiwa kuligondosha hilo gaidi? Au hauelewi maana ya gaidi? Gaidi ni mtu yeyote anayefanya uhalifu kwa kusudia kupata kitu furani. Sasa huyu amewavamia askari kawaua na kupola AK47, hizo silaha alikuwa anataka kuzipeleka wapi? kwa kazi gani? nani kamtuma n.k n.k
Angekuwa anataka kuondoka nazo angekuwa ameshaondoka kitambo!Angetaka kuzitumia kudhuru raia basi tungekuwa na marehemu si chini ya 50!
Huoni jamaa alitoka mwenyewe baada ya kuishiwa risasi?Naona polisi wakawa wakamgeuza shooting range hata baada ya kuanguka!Polisi mpaka sasa wanasema jamaa ni jambazi!Angekuwa Gaidi basi asingewasubiri polisi apambane nao!Badala yake angetembeza moto kwa raia!
 
Back
Top Bottom