shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,333
Mapolisi walioendelea kumpiga za matako wana hatia 2:Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Kabisa haya ni matumizi mabaya ya nguvuMapolisi walioendelea kumpiga za matako wana hatia 2:
- mismanagement of resources (risasi zilipotea bure) na
- udhalilishaji dhidi ya marehemu.
Kwa sababu ni gaidi. Gaidi huwa anajifanya zimempata kumbe anawalia timing ni vyema ujilidhishe kwa kuchakazaMi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Hii ni sawa na Padri anapotaka kumuingiza muumini wake kwenye Kundi, ana mpatia toba ya kumuuliza "DO YOU REJECT SATAN AND ALL HIS WORKS?? Hapo kimbembe kina anzia hapo Jibu " PERSONALITY or POLITICALLY? sasa hapo padri itabidi ajijibu mwenyewe akili kumukichwaKufahamu, kuelewa jambo na kujiuliza au kuhoji ni hitaji la msingi la afya ya akili. Ukikosa kuhoji unaumwa, utajisikia vibaya, utahisi unanyanyaswa, kuibiwa n.k
Jukwaa hili lipo kwa sababu hiyo (kuhoji, kuuliza na kufahamu), pia ukienda kwenye katiba utalikuta hilo hitaji limewekwa umepewa i usiugue,
Ila kwenye siasa jifunze kuhoji kawaida usiumize sana kichwa
Sawa mkuu!
Wamenikera kweli,walikuwa wanahatarisha usalama wa askari aliyekuwa amejeruhiwa!Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Twende mbele turudi nyuma,askari wameonesha incompetence ya hali ya juu!Kwa sababu ni gaidi. Gaidi huwa anajifanya zimempata kumbe anawalia timing ni vyema ujilidhishe kwa kuchakaza map*mb* OVER
Hili ni somo jingineHii ni sawa na Padri anapotaka kumuingiza muumini wake kwenye Kundi, ana mpatia toba ya kumuuliza "DO YOU REJECT SATAN AND ALL HIS WORKS?? Hapo kimbembe kina anzia hapo Jibu " PERSONALITY or POLITICALLY? sasa hapo padri itabidi ajijibu mwenyewe akili kumukichwa
Kabisa hata hao raia wanasema jamaa kajeruhi siamini kabisaWamenikera kweli,walikuwa wanahatarisha usalama wa askari aliyekuwa amejeruhiwa!
Ili kuonesha kuwa baada ya mapambano makali alitaka kukimbia ndipo wakammiminia hizo risasi, utashangaa watapata tuzo ya ujasiri bila uoga.Mi nahoji baada ya mjamaaa wa jana kupigwa ya kichwa na akaonekana kadondoka chini hivi kwa nini polisi waliendelea kummiminia za mat*k*ni kiasi kile akiwa pale chini?
Kwa ule mdondoko alivyoanguka tena kwa kunyanyuka miguu ndo akaenda mzima mzima kwa sisi wataalam/makamisaa unajuaa kabisa hii sio zuga ni kweli sema askari wetu hofu iliwajaa zaidiKwa sababu ni gaidi. Gaidi huwa anajifanya zimempata kumbe anawalia timing ni vyema ujilidhishe kwa kuchakaza map*mb* OVER
Asee kweliIli kuonesha kuwa baada ua mapambano makali alitaka kukimbia ndipo wakammiminia hizo risasi, utashangaa watapata tuzo ya ujasiri bila uoga.
Incompetence wakati wamefanikiwa kuligondosha hilo gaidi? Au hauelewi maana ya gaidi? Gaidi ni mtu yeyote anayefanya uhalifu kwa kusudia kupata kitu fulani. Sasa huyu amewavamia askari kawaua na kupola AK47, hizo silaha alikuwa anataka kuzipeleka wapi? kwa kazi gani? nani kamtuma n.k n.kTwende mbele turudi nyuma,askari wameonesha incompetence ya hali ya juu!
Angekuwa anataka kuondoka nazo angekuwa ameshaondoka kitambo!Angetaka kuzitumia kudhuru raia basi tungekuwa na marehemu si chini ya 50!Incompetence wakati wamefanikiwa kuligondosha hilo gaidi? Au hauelewi maana ya gaidi? Gaidi ni mtu yeyote anayefanya uhalifu kwa kusudia kupata kitu furani. Sasa huyu amewavamia askari kawaua na kupola AK47, hizo silaha alikuwa anataka kuzipeleka wapi? kwa kazi gani? nani kamtuma n.k n.k
Pale walipomtia shaba za mkun.duni amaMapolisi walioendelea kumpiga za matako wana hatia 2:
- mismanagement of resources (risasi zilipotea bure) na
- udhalilishaji dhidi ya marehemu.