vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Wanasema kila kitu hutokea kwasababu, tunasikitika Yanga kudhurumiwa goli lililo halali ila pamoja na hilo Yanga imeongeza idadi kubwa sana ya watu kuwazungumzia. Lile goli limeleta gumzo haswa katika soka la Africa. Nilikuwa naamini kwamba ni makosa tu ya waamuzi na hakuna maelekezo yeyote kutoka juu ila baada ya kuona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha umma kuwa halikuwa goli ndio naingiwa na mashaka kuwa pengine mtu wa juu alitoa maelekezo maalumu kwenye hilo tukio.
Bein sport ni kituo kikubwa cha urushaji wa matangazo ya mpira ila ajabu wametumika kuzima hili dhurma iliyowazi kabisa. Ukiangalia video inayochambulia na Bein sports ina uongo mwingi sana kutoka kwenye uhalisia.
1) video ya goli iliyotumika sio shuti la Aziz Ki na ndio maana ukiangalia kwa makini hawaweki muendelezo kwanzia shuti linapigwa hadi linaenda golini bali video yao ni ya kukatisha katisha tu.
2) angalia mabango ya matangazo nyuma ya goli la Mamelodi, Bein sports wameweka mabango yapo mbali kabisa na golini wakati kiuhalisia mabango yalikuwa yapo karibu kabisa na lilipo goli la Mamelodi hivyo ni wazi pengine wameedit au wamechukua shuti la mchezaji tofauti na Aziz Ki kisha wakajifanya kulitolea ufafanuzi.
Lakini yote haya yanafanyika kwasababu mashabiki wameonesha kutoridhika na maamuzi ya waamuzi ni jambo limeongeza umaarufu na kufanya trending story kwenye michuano ya CAF CL hatua hii.
adakiss23 GenuineMan matunduizi[/USER [USER=427454]Scars