bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwani serikali imerudia kusema mara kwa mara kupitia waziri wa OR Tamisemi menejimenti ya utumishi wa umma kwamba serikali itawapandisha Madaraja watumishi 81000 lakini hakuna taarifa yeyote inayotolewa kwa watumishi hao wala kubainishwa.
Hii inakatisha tamaa watumishi kwamba hadi mwezi may 2024 hakuna kilichofanywa. Ikumbukwe maafisa utumishi walokuwa na Kambi DODOMA ya kuwabaini watumishi hao lakini kumbe waliutangazia umma kwamba wanatatua kero za wananchi kupitia vyombo vya habari kumbe hakuna kitu.
pia SOMA
- Uongo wa Serikali katika kupandisha watumishi madaraja mwaka wa fedha 2023/2024
- Madaraja na mserereko wa madaraja kwa watumishi ni porojo tu. Serikali hakuna hela?