Habari wana jamvi
hii nimeipata Leo hi kwenye mkutano wa wadau,
mwasilishaji mmoja kawasilisha mafanikio ya maradi Fulani wa Kilimo, katika kuonyesha mafanikio kaambatanisha picha ya shamba la mkulima lilivyokuwa mwaka 2004 na lilivyokuwa mwaka huu 2013. Katika picha inamwonyesha mkulima akiwa katika shamba bovu na akiwa katika shamba zuri, kilichoniacha hoi ni kuwa mkulima kavaa ngua, viatu na koti vinavyofanana mwaka 2004 na 2013.
najiuliza hivi huu uongo wa watendaji watu wa serikali utaisha lini? Na lini watatuambia ukweli? Hivi kwa Mwendo huu tutafika kweli?
Bahati mbaya sijapewa ruhusa kuuliza swali
lete Maoni yako ni kitu gani kifanyike,
nawakilisha