Generalkaduma
Member
- Apr 29, 2011
- 20
- 5
Wakoloni weusi wa pili hapa tz tunajua wana polisi, usalama wa taifa, tra na fedha zetu wananchi wanazitumia kuhakikisha wanadidimiza mambo hata wafanyabiashara, wanawahonga wengine wanaojitoa ufahamu hata kuwaua wengine baada ya hapo wanaunda tume ambazo hadi leo tume hizo hazijaleta majibu.
Ukweli watanzania wanajua wapi na tangu lini imepata tokea chama cha upinzani walianza kupigana wao mkutanoni bila chanzo kuwa policcm. Nadhani mshauri wa chama tawala hayupo vizuri kiakiri maana huwezi zuia uhuru wa fikra hata siku moja.
Baada ya kudili na maisha magumu wanayopata wananchi eti unafikiria kila siku namna ya kudhibiti chadema,thibitisheni utovu wa nidhamu wa chadema wananchi wenyewe wanajua na uonevu wenu. Trully thus is too big for u, watanzania wanahitaji mtu anaempa kura yake awe msikivu katika na kujadiliana mambo ya msingi na awaongoze vipi? Sio kwa matakwa ya kujiamulia kama mwenzetu anaesema we piga hata kama hajadhibitisha kosa la mhusika kama katiba inavyosema.
Tanzania lets move together. Chadema ina watu sio fedha wala polisi, mungu yu nasi na ataendelea kuwaumbua kila kukicha, endeleeni kututafutia kesi mungu ataendelea kuwaumbua tu mpaka kieleweke.